Waganda kiboko!!!!.....

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Nimeusikia mchana huu utafiti huu kuwa katika nchi tatu zilizoasisi east africa community yaani Tanzania,Kenya,na Uganda,ni kuwa Waganda ndo wanaongoza kwa kukutana kimwili mara nyingi zaidi kwa mwaka ukilinganisha na nchi hizi mbili nyingine,ikifuatiwa na Tanzania halafu Kenya ndo ya mwisho!!!!
 
Yaani Tz hamna tunacho ongoza.
Michezo wa mwisho, uongozi bora, wa mwisho, siasa safi wa mwisho.... Yaani hata ku duuu sisi ni wa pili kutoka mwisho!!!!!!
 
Source?
Nimeusikia mchana huu utafiti huu kuwa katika nchi tatu zilizoasisi east africa community yaani Tanzania,Kenya,na Uganda,ni kuwa Waganda ndo wanaongoza kwa kukutana kimwili mara nyingi zaidi kwa mwaka ukilinganisha na nchi hizi mbili nyingine,ikifuatiwa na Tanzania halafu Kenya ndo ya mwisho!!!!
 
Nimeusikia mchana huu utafiti huu kuwa katika nchi tatu zilizoasisi east africa community yaani Tanzania,Kenya,na Uganda,ni kuwa Waganda ndo wanaongoza kwa kukutana kimwili mara nyingi zaidi kwa mwaka ukilinganisha na nchi hizi mbili nyingine,ikifuatiwa na Tanzania halafu Kenya ndo ya mwisho!!!!
Sidhani kama huo utafiti ni wa kweli mi naona wanaongoza hata bila kufanya utafiti ni Kenya wao hufanya wakati wote 24 hrs bana tena kwenye bustni mchana kweupe mfano pale Mulilo Garden
 
Waganda ni kweli wanapenda hiyo kitu. Ninao ushahidi wa kutosha. Utafiti huu ni wa kweli kabisha
 
Ngoja tusikie toka kwa jamma zetu wa Kenya wanaridhika na nafasi hii ya tatu kweli!?? Wapi Burundi na Rwanda jamani kun avifaa kule kwa Kagame sio utani!!
 
Yaani Tz hamna tunacho ongoza.Michezo wa mwisho, uongozi bora, wa mwisho, siasa safi wa mwisho.... Yaani hata ku duuu sisi ni wa pili kutoka mwisho!!!!!!
Umbea na uzembe TZ no 1!
 
Nimeusikia mchana huu utafiti huu kuwa katika nchi tatu zilizoasisi east africa community yaani Tanzania,Kenya,na Uganda,ni kuwa Waganda ndo wanaongoza kwa kukutana kimwili mara nyingi zaidi kwa mwaka ukilinganisha na nchi hizi mbili nyingine,ikifuatiwa na Tanzania halafu Kenya ndo ya mwisho!!!!
Yah! Good reaserch, ukweli hata physical appiarance ukicheki Wakenya ni wabaya ukilinganisha na Tz na Ug.
 
Wakenya kweli ni wabaya (physical appearance)
Tukija kwa ndugu zetu Waganda – hawajivungi wako wazi mmno, hivyo kama hakutaki huwezi kumpotezea muda.
Watanzania wengi hawajiamini (pamoja na kwamba ni wazuri) Kwa uzuri nafikiri watanzania wanaongoza. (Naongelea wanawake)Wakenya kweli ni wabaya (physical appearance)

Watanzania wengi hawajiamini (pamoja na kwamba ni wazuri) Kwa uzuri nafikiri watanzania wanaongoza. (Naongelea wanawake)
 
mi naona tz niyakwanza coz huw 2kiwa 2napata chkula chamchana malanying weng wanaonge nija sexy na nan? Kila siku 2nawaza ngono wa tz
 
Back
Top Bottom