Wafungwa Waliopewa Adhabu ya Kifo...

Feb 24, 2012
6
0
Lini wafungwa waliopewa adhabu ya kifo watatendewa haki kwani wanapewa adhabu mara mbili..kuishi kwa wasiwasi kuwa watakufa any time then hawafi..
 
Kama kweli waliwaua wenzao kwa kukusudia waache wateseke

Mkuu,
Katika nchi ambayo inanuka rushwa kama hii na ambayo katiba yake imempa rais mamlaka makubwa kiasi cha kumfanya dikteta (kama hatamuogopa Mungu) usitegemee kuwa wafungwa wote wameadhibiwa kutokana na ushiriki wao katika makosa. Si unajua kuwa hata hao majaji uhuru wao wa kufanya maamuzi bila woga au upendeleo si mkubwa kiasi hicho?
 
Mkuu unataka kuniambie tenure ya judge/magistrate hakuna hapa kwetu..?ikiwa katiba inaweka wazi kila mtu ana haki ya kuishi basi hii adhabu ifutwe tu..Mkuu fanya uwatembelee hawa wafungwa uwaone...
 
Cha moto wapo watu ambao wamebaka why wao hawabakwi..?mfungwa nae mtu pia jaman coz evidence nyingi hazitoshi kumconvict accused kwani hazipo partial..
 
Mkuu unataka kuniambie tenure ya judge/magistrate hakuna hapa kwetu..?ikiwa katiba inaweka wazi kila mtu ana haki ya kuishi basi hii adhabu ifutwe tu..Mkuu fanya uwatembelee hawa wafungwa uwaone...


Mkuu, kwanza msimamo wangu katika hili uko wazi kwamba siungi mkono adhabu ya kifo.

Kidogo tenure ya majaji inelezeka lakini haki haitendeki kwa kuwa majaji wana security of tenure tu. Kuna mambo ya upelelezi ambayo yanafanywa na poilisi, na kuna ushahidi unohitaji opinion ya expert, na usisahau mamlaka aliyopewa DPP katika uendeshaji wa makosa ya jinai.

Lakini pia usisahau kuwa kitaaluma wapelelezi, waendesha mashtaka na mawakili ni maafisa wa mahakama na kazi yao kubwa ni kuiongoza mahakama iwaze kutoa maamuzi ya haki bila kujali kama wateja wao watashinda au hawatashinda. Swali: Hapa bongo iko hivyo?
 
Back
Top Bottom