Wafugaji wakiungana CCM itaaga Ikulu

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
Nimesoma makala kwenye gazeti la Mwanahalisi iliyochambua dhuluma iliyofanywa na serikali kuanzia 2006 dhidi ya wafugaji. Mwandishi wa makala anatoa mfano wa hasara iliyowapata wafugaji kutokana na operation ya kuhamisha mifugo katika wilaya ya mbarali pekee kufikia shilingi bilioni 100. Huu ni ujambazi wa wazi uliofanywa na watendaji wa serikali wakitekeleza sera ya serikali ya wamu ya nne inayoonekana kuwajali zaidi wanyama pori kuliko wafugaji wapiga kura. Kama serikali hii ya ccm itaendelea ya unyanyasaji wake kwa wafugaji, waelewe siku wafugaji wakiamua kuungana na kuchagua chama cha upinzani ccm itatupwa nje.

Nashauri vyama kama chadema waanze kuweka sera nzuri kwa wafugaji ili 2015 wafugaji wakitupe hiki chama cha kilimo kwanza na wanyama pori.
 
Usimsahau, Lowassa, Chenge, Malecela, Magufuli wote ni wafugaji hao.
 
UNA UWEZEKANO MKUBWA CCM IKAWA CHANZO CHA KUCHOMWA MAKANISA ILI KUWAGAWA WATANZANIA,WALIANZA KWA KUWAPAKA MATOPE CUF BAADA YA KUUNGANA NAO WAKAHAMIA CHADEMA ETI UDINI WAKASHINDWA SASA UKASKAZINI NINA WASIWASI KUNA MKONO WA CCM:israel:
 
Uko sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom