Wafuatao Watafute Pa Kutibiwa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Baada ya Dalili za Mgomo wa Matabibu wetu kufikia Tamati, Nashauri wale wote waliokuwa shababi katika kulaani mgomo huu bila kufanya upembuzi yakinifu waitishiwe mgomo wa kutotibiwa mahali popote (Ikiwezekana hatta panadol wasiuziwe
  1. Mzee wa Upako
  2. Anna Makinda
  3. Blandina Nyoni
  4. ........................
  5. .........................
  6. ..........................
 
Mzee wa upako huwa haendi kutibiwa,matatizo yake huyamaliza mwenyewe.
 
WATAENDA INDIA
HAO WOTE ULIOWATAJA
HASA HUYU MWANAMAMA
ALIELETA VIFAA
FEKI VYA UKIMWI
HAPA NLIPO
SIJIELEWI NNAO
AMA LAH!
AMECHEZEA MAISHA YA
WATZA!
HV WALIOPMA NA
KUAMBIWA HUNA/UNAO
WAKT NI KINYUME CHAKE
AMEWAHARIBIA
KIAASI GANI
ANGEKUWA CHINA
ANATIWA KITANZI
LIVE WATU
wakimtizama!
 
wote hao huwa wanalazimishia referal kwenda india kwa gharama za serikali. Hivi hivi tutakuwa wote humu humu regency,agha khan etc. Madoc mnh lazima wawe wachungu na referal za hawa wanyonyaji
 
Wanasaikolojia wanasema kuwa jina la mtu huwakilisha matendo ya mtu. Ukitaka kuamini kauli hii hebu mtafakari mtu huyu aitwaye AMEANZA MIZENGWE AKAPITIA KUIPINDISHA. Tafakari kwa makini jina lake na matendo na maamuzi yake utagundua kitu.
 
Back
Top Bottom