Wafuasi wa CUF waandamana...IPP Media

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
  • Wafuasi wa CUF wanaandamana toka makao yao makuu kuelekea Wizara ya Sheria na Katiba kudai katiba mpya. Hata hivyo polisi wanajitahidi kuwazuia.
 
Tusubiri tuone kama watafika huko wizarani,kwanza najua hawatamkuta mtu.
 
nilikua pale clock tower, maeneo ya kitumbini mnazimmoja,polisi na ving'ora vyao wamejiandaa vilivyo kukabiliana nao
 
sasa mnasikia raha gani polisi kuzuia na kupambana na raia kisa wanadai katiba mpya?
 
hiyo mipolisi na hao wakuu serikalini natilia shaka sana fikra zao juu ya haki na uhuru wa kuongea pamoja na uhuru wa kufikiri. siwapendi CUF , lakini wanayo haki yakuongea na kutoa maoni yao bila kusumbuliwa na mtu yoyote.
 
Back
Top Bottom