Wafaulu kwenda form one lakini hawajui kisoma!

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Jamani wana JF, mnisaidie maana sipati picha hapa! Ktk matokeo ya darasa la saba mwaka jana, nimeshuhudia wanafunzi wengi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza lakini cha ajabu, hawajui kusoma hata kidogo! Hivi, walifauluje? Kwa mtindo hali ya elimu Tanzania inaelekea wapi?
 
Back
Top Bottom