Wafanyakazi wote wa umma

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Baada ya wabunge kujifikiria wao wenyewe na kujiongezea posho,huku watumishi wengn wakbaki na maisha duni bila mtetezi je!
1.wogome actively
2.wagome passively
3.wazidi kusuburia.
Napendekeza 1 na 2!wewe je?
 
wagome kuchukua mishahara tuuu ila wafanyekazi usiku na mchana.........!
 
Baada ya wabunge kujifikiria wao wenyewe na kujiongezea posho,huku watumishi wengn wakbaki na maisha duni bila mtetezi je!
1.wogome actively
2.wagome passively
3.wazidi kusuburia.
Napendekeza 1 na 2!wewe je?[/QUO
answer=1
 
Mimi sishauri wafanyakazi wote wa umma wagome, bali wale tu walioko dodoma. Maana bi-kiroboto anadai maisha ya dom ndiyo yamepanda na kusababisha wabunge kujiongezea posho kukabiliana nayo.
 
jina zuri ni lipi sasa bi kiroboto au bi kidude?
nunge limekuwa linajitungia sheria zao tofauti na kutumikia umma
inabidi katiba mpya itoe fursa ya wananchi kumtimua spika anaposhindwa majukumu yake
 
Jana wakati anaongea nilimuona kavaa wigi jipya!!!! Nadhani ile thread ya JF dhidi ya wigi lake aliisoma!!!!
 
hiyo ya pili mgomo wa passively walimu washaunza siku nyingi. Ila hawa wabunge wamenichefua wengine tunaumia mishahara haikutani yaani semina zenye posho wakubwa ndo wanaenda, nyumba chache za serikali zilizopo maboss ndo wanakaa, usafiri wa kwenda kazini maboss ndo wanaufaidi sisi wengine full kuumia tulipe kodi za nyumba, tujigharamikie nauli afu elimu zetu na zao almost zinalingana au wengine tumewazidi tukilalamika wanasema hatuna experience ukiwa mkali wanakwambia siasa za CDM zimekuaribu na sisi ndo hivyo akija mwananchi tunamtreat vibaya sio ka tunapenda tuna hasira!! Sa sisi tupeleke hasira wapi ka sio kwa wanyonge lakini roho inauma. Mgomo hauwezi fanikiwa sababu kuna wanafki wasio na sifa ambao wanaona hata hicho kidogo ni favour yaani sometime natamani hata kinuke wote tutaftane tuhenyeke
 
jina zuri ni lipi sasa bi kiroboto au bi kidude? Nunge limekuwa linajitungia sheria zao tofauti na kutumikia umma inabidi katiba mpya itoe fursa ya wananchi kumtimua spika anaposhindwa majukumu yake
huyu mama hana hadhi ya bi kidude!
 
tugome wakati hatuwezi kulipwa kima cha chini cha 300000 hata kama ni miaka 10 ijayo. Posho ya wabunge 200000 kwa siku. mshahara wa mwezi wa afisa ustawi wa jamii. kweli nchi hii wafanyakazi wengine wataendelea kufaidi KEKI YA TAIFA huku wengine tukiishi kama hayawani. mfanyakazi umesoma unashindwa hata na Dereva wa darasa la nne la mkoloni kwa kutoka kimaisha. wao safari kila siku na posho zao huku mshahara ukibaki palepale. wengine HAYAWANI tuuuuuuuuu.
 
mmnh! gomeni tu mimi simo. haka kajibwa kadogo naona kanasaidia japo hakatoshi.
 
hiyo namba mbili ndo iko makini zaidi maana unakuja job, unauza sura then unarudi kuendelea na mambo yako home au pale pale kwa ofisi. watumie mtindo walotumia walimu matokeo yake si uliyaona mtihani wa form 4 last year!
 
Back
Top Bottom