Wafanyakazi wataiambia nini serikali yao kesho?

muislamsafi

Member
Jan 25, 2012
78
20
Nimesoma bango moja linalotengenezwa kwaajili ya maandamano ya kesho
siku ya wafanyakazi nikakutana na ujumbe huu "mshahara duni.kodi kubwa
na mfumuko wa bei ni pigo kwa wafanya kazi"
nahisi ujumbe huu unaelekezwa
kwa serikali.

My take: kama wafanya kazi wa serikali wanaona kuwa mshahara ni duni kodi ni kubwa
na mfumuko wa bei nawanaweza kuieleza serikali katika maandamano hayo rasmi basi nao wamechoka
na sisiemu inakufa mbaya kabisa
original
 
kwa kweli kodi za mishahara zinawahujumu wafanyakazi, ni kama wizi wa mchana. Serikali imeona sehemu ya kupata pesa za uhakika ni kutoka kwenye mishahara ya wafanyakazi. Yan mfanyakazi anayelipwa kamshahara cha >2m, analipa kodi kuzidi mfanyabishara mwenye turnover ya milioni 30 kwa mwezi. Kweli hii siyo haki kabisaa, nafikiri JK anawatesa wafanyakazi coz anajua wengi wao hawakumchagua. Sasa kama JK hawezi kuongeza mishahara basi apunguze kodi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom