Wafanyakazi wa Tigo wapata ajali

taarifa zinasema dereva ni mmoja wa waliofariki papo hapo,Mungu warehemu ndugu zetu hawa,wapumzike kwa amani!!!!!!
 
Jana Hapa KCMC hos. huduma za x- ray zilisimama kwa muda kwa wagonjwa waliokua wanasubiri vipimo hivyo na wengine kupewa tarehe nyingine ya kuja kupatiwa huduma hiyo ili kupisha majeruhi wa ajali hiyo kufanyiwa x ray, mh. Lyatonga Mrema naye alifika KCMC akiwa ameongozana na majeruhi wa ajali hiyo.
 
Ni kweli mkuu na mie nilikuwa maeneo hayo! Inasikitisha sana hizi ajali za njia panda ya Himo, nakumbuka ile ya mwaka Juzi eneo hilo hilo ikihisisha mini bus iliyokuwa imebeba wanafunzi na bus la Ngorika. Polisi twaomba muwe makini
 
kwakweli baadh ya drivers wanaoendesha gari za tigo ni wazembe sana wawapo barabarani na pia wanapenda mashindano na michezo.
august mwaka jana niliweza kuona wakienda kwa kufukuzana na kuhama hama barabara katika hali ya kumzuia mwenzie asimpite.
 
naomba m2 aliyeweza kupata majina yao pse aturushie hapa wengine ni marafiki zetu namba hazipatikani!
 
Back
Top Bottom