Wafanyakazi wa saloon arusha wahamia kwenye madanguro

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Katika kuonyesha hatima ya mgao wa ngeleja na madhara yake madada wa arusha waliokuwa wakifanya kazi kwenye saloon wengi wamehamishia makazi yao usiku kwenye baadhi ya hotelna bar,,wakiongea kwa uchungu wanasema nyie dar mnanyimwa leokesho mnao sie tuna kaa hadi siku tatu bila umeme na saloon bila umeeme utafanyaje..ni jambboo lakusikitisha kuona mh ngeleja bado anaendelea na wadhifa wake h\jamani huyu baba hizi laana atazipeleka wapi

aoni watoto wangapi wasio na mababa zao wanaenda kuzaliwa na nani atawatunza

aoni anaongez idadi za watoto wa barabarani..ninyi vijana wa ubungo mkiona gari la huyo waziri embu limwagien maji awe na heshima kwa mama zenu inasikitisha sana m sikuamini kama attadai kurudi tena na bajeti nilijua anajiuzulu walete wengine hiyo bajeti anyway

mola waepusha na ukimwi kwenye biashara hii mpya
 
Katika kuonyesha hatima ya mgao wa ngeleja na madhara yake madada wa arusha waliokuwa wakifanya kazi kwenye saloon wengi wamehamishia makazi yao usiku kwenye baadhi ya hotelna bar,,wakiongea kwa uchungu wanasema nyie dar mnanyimwa leokesho mnao sie tuna kaa hadi siku tatu bila umeme na saloon bila umeeme utafanyaje..ni jambboo lakusikitisha kuona mh ngeleja bado anaendelea na wadhifa wake h\jamani huyu baba hizi laana atazipeleka wapiaoni watoto wangapi wasio na mababa zao wanaenda kuzaliwa na nani atawatunzaaoni anaongez idadi za watoto wa barabarani..ninyi vijana wa ubungo mkiona gari la huyo waziri embu limwagien maji awe na heshima kwa mama zenu inasikitisha sana m sikuamini kama attadai kurudi tena na bajeti nilijua anajiuzulu walete wengine hiyo bajeti anyway mola waepusha na ukimwi kwenye biashara hii mpya
Mkuu, wewe upo Arusha?
 
Hiyo hainiingii kichwani kabisa, kama ni kweli basi ni pembe la N'gombe halifichiki sio umeme.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom