Wafanyakazi wa Mahotelini tumechoka kushika uchafu

Ila watu wanaroho ngumu. Hiv unaanzaje kula tigo kwa mfano?
Na jinsi ma.vi ya mtu mzima yanavyonuka kwahiyo baada ya kula tigo unaenda kuoga au unalala hivyo hivyo na ma.vi kweny mti?
usilolijua sawa na uck wa Giza,ndg ckufundishi kitu ambacho hupendi,ila ucje jaribu .maana ukijaribu tu!!utaona tofauti yke na.......dunia imevaa pension hii????oohh
 
Naomba vyombo vinavyohusika na usalama wa nyumba za wageni washughulikie hili swala, mijitu mingine ni michafu sana unakuta mwanamke ni wale wa maji marefu mchezo ukiisha godoro limelowa mikojo, badala ya wahusika basi hata kuomba samahan unashangaa inatoka tuu.

Sasa kwa hali hii hizi nyumba za wageni zitakalika? Bahati huwa nina list ya wateja hivo nikisikia lawama ya chumba flani basi mteja aliekitumia atawajibishwa tena polisi maana sie tumechoka na hii hali.

Hicho ni cha mtoto, kilichonifanya nilete hii mada huku ni kukuta kinyesi kimetapakaa kitandani. Hawa wateja waliniboa sana na dawa yao ni kuwaumbua tuu. Na nyie mnaofanya hii michezo ya kuruka ukuta mujiandae mapema kama wanavyofanya wenzenu ulaya huko sio umekula maparachichi yako na maharagwe halafu ukavimbiwa unakuja kufanya huo uchafu!

Mwisho thamini cha mwenzio kama unavyothamini cha kwako kwani wote tunatafuta mkate tuu hivyo sio vyema kuharibu biashara ya mwenzio.
 
Kama kazi imekushinda tafadhali ndugu utafute kazi nyingine
 
Ila watu wanaroho ngumu. Hiv unaanzaje kula tigo kwa mfano?
Na jinsi ma.vi ya mtu mzima yanavyonuka kwahiyo baada ya kula tigo unaenda kuoga au unalala hivyo hivyo na ma.vi kweny mti?
Halafu yanatapakaa chumbani wanalalaje mpaka asubuhi
 
Kinyesi nakutetea ndugu muhudumu ila hiyo ya maji marefu ni asili ya mtu kama wengine walivyo a vikwapa vikali.

Isitoshe hiyo maji marefu huwa inakingwa kwa kufunika godoro na foronya ya nylon kama wafanyavyo Bukoba, Kigali na Kampala.......Chunga usiingilie teknolojia ya mkoa wa kagera.

Nilikuwa siamini hii kitu hadi nilipo enda mwenyewe bukoba nikashuhudia mwenyewe godoro za hotel zimevalishwa foronya ya ngozi ili hata kama katerero ikinoga basi inaishia kwenye shika tuu.

Wenyewe wanasema wataalam wanapiga katerero hadi kisado cha lita 3 kinajaa maji.
 
Hiko kisado cha maji kinatoka wapi? huo mwili siutakua mkavu kama kitimoto kilichorostiwa?
 
Back
Top Bottom