Wafanyakazi wa CRDB Meru Branch Arusha wafundishwe adabu!

No! but it makes a lot of diffence if you just send it ... as many times as possible!!!

Ni manyangumi but ni watu tu!! hata unyangumi una yielding point ...itafikiwa tu ...hakuna kuchoka ni kuwa pressurise in many ways as possible..!!


....Ok. nasubiri za AccessBank Kijitonyama!!
 
Malalamiko kama haya yangepelekwa moja kwa moja kwa uongozi wa CRDB Makao Makuu ingesaidia sana kuliko hapa JF....Magonjwa mengine tunayafuga sisi wenyewe wateja !!!

Tafadhali peleka malalamiko yako kwenye email iliyopo hapo chinini na yatafanyiwa kazi mara moja !

customer-hotline@crdb.com
Asante kwa Email, lakini hata hapa ujumbe wataupata tu kwani JF wengi wanaisoma Mafisadi mpaka Walala Hoi, si ajabu kuna jamaa zao au wao wenyewe ni Member wa JF..
 
Are they using analog system? To draw 1 m mpaka itumwe FAX NOT EMAIL!! shame! Shame! crdb.
Huu ni ulimwengu wa utandawazi mnatia aibu mno.
 
Hivi kuna wafanya kazi wa crdb wenye midomo michafu na jeuri kama wa crdb tawi la vijana lumumba hapa d'salaam????basi kimei tembelea ujione au tuma watu inafurahisha watu wanawekwa cc halafu hajui hata kujibu salam ya mteja kuna dada wa kichaga sijui mpare mweupe mrefu maziwa makubwa ni mjinga kupit wajinga hata kujibu salamu yako hataki kukuangalia pia hataki sasa utatoaje huduma halafu mnasema eti the bank that liste? Upumbavu wa kupeana kazi kinyumbani nyumbani
 
Hivi kuna wafanya kazi wa crdb wenye midomo michafu na jeuri kama wa crdb tawi la vijana lumumba hapa d'salaam????basi kimei tembelea ujione au tuma watu inafurahisha watu wanawekwa cc halafu hajui hata kujibu salam ya mteja kuna dada wa kichaga sijui mpare mweupe mrefu maziwa makubwa ni mjinga kupita wajinga hata kujibu salamu yako hataki kukuangalia pia hataki sasa utatoaje huduma halafu mnasema eti the bank that liste? Upumbavu wa kupeana kazi kinyumbani nyumbani

Jeuri za jinsi hiyo mara nyingi huambatana na uhusianao wa kimapenzi kati ya hao wadada na mabosi wao. Kuna ofisi moja (NGO) Dar inaendeshwa na Wamarekani na bosi wao ni mzungu. Huyu mzungu alichukua changudoa na kumwajiri pale ofisini kwake, mara baada ya muda mfupi yeye (changudoa) ndo akawa msemaji na mwamuzi wa mambo mengi hapo ofisini na kutokana na elimu ndogo aliyokuwa nayo alikuwa anawanyanyasa wafanyakazi kupita kawaida ingawa wengine walidiriki kumtukana pia pale walipoona amevuka mipaka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom