Benard kombe
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 138
- 41
Baypot nyie wezi mkopo kidogo makato sana.mtu anakopo laki tatu anakatwa 28000/= kila mwezi kwa muda wa miezi 36.
Mishahara ya watumishi wa umma haina mahusiano na hizi bajeti za kila Wizara zinazosomwa Bungeni, Wizara ya Fedha na ile inayohusu mambo ya Utumishi zikishamaliza basi.Ni kweli mkuu ni kazi inayohitaji umakini lakini i hope ingekuwa bora kila wizara ikipitishiwa bajeti yake mchakato uanze mara moja la sivyo itakuwa ngumu kuupata mshahara wa mwezi julai kwa wakati kwani kuna baadhi ya wizara bajeti zao zaanza somwa agosti. Mi nadhani hii yote ni kasumba ya utendaji wa mazoea
July nikawaida mishahara kuchelewa kwaajili ya marekebisho na nyongeza za mishahara.Kazi hii inafanywa kwa umakini ili mtua aongezewe stahili yake bila kuchanganywa na yamtu mwingine aidha kwa kupunjwa au kuongezwa asivyostahili. Ni kazi inayohitaji umakini.
serikalini nimeingia juzijuzi tu wangu...
Vipi taasisi nyingine za umma na wizarani mshalipwa? Bora sisi yani tar 21 ushavuta mpunga wako fasta!!
Mshahara mpaka tarehe mosi agost. Kuna system mpya inaanza kutumika serikalini ... epica... kwa hiyo wanataka ianze kusoma mishahara tarehe mosi.
Mpaka leo 31/7/2012 waliopata mshahara wa july ni wanajeshi tu.Wafanya kazi wa serikali bado.Walimu na kada nyingine si chochote kwa serikali.Tatizo ni nini maboresho au ndo kufirisika?Kama kuna halimashauri wameripwa tujuze na sisi waliopembezoni tuandamane.