mishahara ya mwezi huu kwa watumishi wa umma bado hadi leo,tatizo ni nini wakuu! na ni kwa nchi nzima au kuna idara zingine wameisha uona?
Mwalimu kwani lazima kila mwezi ulipwe? Jitoleeni mjenge taifa lenu.
huku iringa bado hatujapata(walimu), kwa taarifa nilizopata, wizara inasubiri upepo wa mgomo wa walimu, wakigoma tu mishahara haitatolewa. mimi ni mwalimu nitaunga huo mgomo mpaka kieleweke kwasababu nina uhakika navyeti vyangu. Walimu wengi wanaogopa kugoma kwasababu wana vyeti feki.
Mchumi daraja la kwanza! my ...ss!
Mwalimu kwani lazima kila mwezi ulipwe? Jitoleeni mjenge taifa lenu.
we unataka wakale polisi? mikopo utawalipia wewe? watoto wao utawasomesha? bill zao utawalipia? pesa za matumizi utawapa? mambo za bure hakuna siku hizi,kila kitu kinwa ni bure basi wangejitolea kufanya bure
Haya ndiyo mawazo mgando ambayo tunatakiwa kuyafuta vichwani mwetu.July nikawaida mishahara kuchelewa kwaajili ya marekebisho na nyongeza za mishahara.Kazi hii inafanywa kwa umakini ili mtua aongezewe stahili yake bila kuchanganywa na yamtu mwingine aidha kwa kupunjwa au kuongezwa asivyostahili. Ni kazi inayohitaji umakini.
Mshahara mpaka tarehe mosi agost. Kuna system mpya inaanza kutumika serikalini ... epica... kwa hiyo wanataka ianze kusoma mishahara tarehe mosi.mishahara ya mwezi huu kwa watumishi wa umma bado hadi leo,tatizo ni nini wakuu! na ni kwa nchi nzima au kuna idara zingine wameisha uona?
I see it is very bad we are starving lakini mgomo usonge mbele. Kwani idara ambazo si za ualimu wamepata?
Kwani hiyo nyongezxa ni kitu cha ghafla? Serikali inakuwa imeshajua miezi mingi kabla kuwa itaongeza mishahara, kwa nini ichelewe kufanya hesabu. Au, kwa nini wasilipe mishahara kama kawaida na nyongeza ije kwenye mshahara wa mwezi ujao?July nikawaida mishahara kuchelewa kwaajili ya marekebisho na nyongeza za mishahara.Kazi hii inafanywa kwa umakini ili mtua aongezewe stahili yake bila kuchanganywa na yamtu mwingine aidha kwa kupunjwa au kuongezwa asivyostahili. Ni kazi inayohitaji umakini.
Mimi sio mchumi, labda unanifanisha na mtu. Mimi ni nuclear scientist, nina utaalamu pia wa WMD kutoka Marekani.
huku iringa bado hatujapata(walimu), kwa taarifa nilizopata, wizara inasubiri upepo wa mgomo wa walimu, wakigoma tu mishahara haitatolewa. mimi ni mwalimu nitaunga huo mgomo mpaka kieleweke kwasababu nina uhakika navyeti vyangu. Walimu wengi wanaogopa kugoma kwasababu wana vyeti feki.