"Wafanyakazi" : Liwapi Gazeti lenu la Mfanyakazi?

bluetooth

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
4,402
2,549
Gazeti la Mfanyakazi lilikuwa ni gazeti lililokuwa mashuhuri sana kabla ya magazeti binafsi hayajaanza, pamoja na umiliki wa umma na serikali lakini lilijitahidi kutoa habari makini na za utetezi wa umma hasa wafanyakazi

kulikoni gazeti hili ?

Nawashauri TUCTA walifufue kwani litaweza kuwa nuru ya utetezi na kuhabarisha wafanyakazi katika mambo muhimu ya maslahi yao na ajira zao kama vile sheria hii mpya kandamizi ya mifuko ya jamii

Mimi Mdizi ni Mkulima na mfugaji
 
Kabla hawajalifufua lazima wajiuliza kwanini lilikufa, kisha wajiulize tena walipojaribu kulifufua tena ni nini kilitokea, ndiyo waingie mzigoni kulifufua gazeti hilo.
 
Back
Top Bottom