Wafanyabiashara wagoma kuchangia CCM Kampeni Igunga

kwa hiyo huyo mme ambaye alifumania baada ya uchaguzi ataanzisha tifu au hizo million 14 ndo zitakuwa zimetosha kama mahali??? Magamba mwisho wao ndo huu, waangalie zambia.
 
Hao wafanyabiashara kama walivyo wanasiasa nao ni vigeugeu! Mara leo wamegoma mara usikie wamechangia, kimsingi baadhi yao hawana msimamo bali huyumbishwa.
 
Yaani Ustaadhi Rajab amenyamazishwa kwa milioni 14 tu?Ningekuwa mimi hizo hela ningevuta na tifu lingebaki palepale, kwani kitendo cha kumegewa mke wako wa ndoa ni udhalilishaji usiopimika kwa vipande vya fedha.Wako wapi wanazuoni wenzake wamshauri alianzishe upya? Hivi kweli jamani kumegewa mke na kuvuliwa mtandio kipi ni udhalilishaji?
 
kama ndivyo wasiache kuchanga kwa kuwa dhamira yao ni kuchanga ila wabadilishe mpokeaji!wawape CDM watumie kupeleka mwamko na kuwasha matumaini kwa wananchi vijijin,itumike kupeleka ukombozi Igunga na kwengineko
 
Back
Top Bottom