Wafalme wanapotowa funzo kwa viongozi wa kuchaguliwa

Gozigumu

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
254
3
Amiri wa Mji mmoja wa Saudi Arabia ambae ni wa ukoo wa kifalme (prince) amesema atawakatia maji na umeme wakuu wa mashirika hayo mawili ili waelewe adha wanazopata wananchi kwa kukatiwa umeme na kukoseshwa maji.
Pengine viongozi wetu tunaowachaguwa kwa kura wangekuwa na moyo wa kuwajali walio wengi kama alivyoonyesha mfalme huyu.
 
Huku kwetu wakikatiwa watatumia majenereta na ma borehole standby - kwa vile wana pesa tele.
 
Back
Top Bottom