Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Democratic cha Obama, Republican cha Bush,CDU cha Angeller Michal,Pdp cha Dovutwa,ccm cha Mkweere,Lqd cha Olmet na vingine unawajua wafadhiri wake? Kwa taarifa yako hakuna chama kiwe cha siasa au cha wachawi kisicho na wafadhili! Jambo muhimu ni je lengo la mfadhili ni sawa na mfadhiliwa??Mfadhili mkuu ni wazalendo watz,ccm na kikwete na jumuiya ya wapenda amani duniani.Jamani ninaomba mtu mwenye uhakika juu ya kuwa either chadema wanafadhiliwa na wafadhili toka nje au la atujuze.mana hi ni hatari