Wafadhili wa CHADEMA

Kowero Fredy

Member
Apr 30, 2011
33
2
Jamani ninaomba mtu mwenye uhakika juu ya kuwa either chadema wanafadhiliwa na wafadhili toka nje au la atujuze.mana hi ni hatari
 
Nadhani tungepata taarifa za ufadhili kwa vyama vyote ccm included ili kuwa na fair analysis, vingenevyo itakuwa ni umbeya.
 
Tafuta mwenyewe huo umbea halafu utakuja kutujuza!!vipi umetumwa nini!!
 
Ufadhili kwa vyama vya siasa umeanza leo? lipi la ajabu? kama nchi inafadhiliwa itakuwa chama?
 
jamani ninaomba mtu mwenye uhakika juu ya kuwa either chadema wanafadhiliwa na wafadhili toka nje au la atujuze.mana hi ni hatari

kwa kukusaidia nitakupa ya wafadhili wa ccm make ndo nao wafahamu

1. rostam aziz- mfadhili mkuu- hawamfanyi chochote
2. Wahindi wote tanzania- ndo maana hawabuguziwi kama wabongo
3. Wafanya biashara wakubwa na wakwepa kodi wakubwa
4. Wauza madawa ya kulevya wakubwa- ndo maana hawakamatwi
5. Makampuni ya madini kama barcki- ndo maana wanaua watu na hawalipi kodi
6.chama cha kikomonist cha china- ndo maana wamachinga wa kichina hawafukuzwi kariakoo, na makampuni ya china kupata tenda nyingi sana na china kuuza bidhaa feki. Make bidhaa feki za china ziko tz peke yake na sababu ndo hiyo kama ulikuwa hujui
7. Majambazi wakubwa sana- ndo maana hawakamatwi wanao kamatwa ni vibaka
8.
waarabu wa saudi arabia/familia ya kifalume- hawa wameuziwa loliondo wanawinda kila kitu hadi kobe
 
KWA KUKUSAIDIA NITAKUPA YA WAFADHILI WA CCM MAKE NDO NAO WAFAHAMU

1. ROSTAM AZIZ- MFADHILI MKUU- HAWAMFANYI CHOCHOTE
2. WAHINDI WOTE TANZANIA- NDO MAANA HAWABUGUZIWI KAMA WABONGO
3. WAFANYA BIASHARA WAKUBWA NA WAKWEPA KODI WAKUBWA
4. WAUZA MADAWA YA KULEVYA WAKUBWA- NDO MAANA HAWAKAMATWI
5. MAKAMPUNI YA MADINI KAMA BARCKI- NDO MAANA WANAUA WATU NA HAWALIPI KODI
6.CHAMA CHA KIKOMONIST CHA CHINA- NDO MAANA WAMACHINGA WA KICHINA HAWAFUKUZWI KARIAKOO, NA MAKAMPUNI YA CHINA KUPATA TENDA NYINGI SANA NA CHINA KUUZA BIDHAA FEKI. MAKE BIDHAA FEKI ZA CHINA ZIKO TZ PEKE YAKE NA SABABU NDO HIYO KAMA ULIKUWA HUJUI
7. MAJAMBAZI WAKUBWA SANA- NDO MAANA HAWAKAMATWI WANAO KAMATWA NI VIBAKA
8.
WAARABU WA SAUDI ARABIA/FAMILIA YA KIFALUME- HAWA WAMEUZIWA LOLIONDO WANAWINDA KILA KITU HADI KOBE

Kama hajakuelewa atakuwa na mtindio wa Ubongo sasa
 
Kumbe ndio maana Tanzania watu wanafeli sana mitihani! Sasa angalia Njuka wewe umeulizwa nini halafu na wewe umejibu nini??? Punguza bange zitakufikisha pabaya
 
Sasa aliyekuuliza kama unafahamu ya CCM ni nani??? Unatumia makalio kufikiria au una mtindio wa ubongo??
 
sasa aliyekuuliza kama unafahamu ya ccm ni nani??? Unatumia makalio kufikiria au una mtindio wa ubongo??

natumia dada yako kufukiria. Yapu nimeweka ya ccm kwa hiyo unatakaje? Au nepi atakumaindi?

Angalia kibarua kisije ota nyasi make hapa uko kazini unaingiza siku .

Orodha nyingine ya wafadhili wa ccm ni hii hapa.
1. takukuru- hawa ni wafadhili wakubwa sana wa ccm hasahasa kipindi cha kampeni.
2. polisi- hawa pamoja na kuishi kwenye vibanda kama bata mzinga, ni wafadhili wa ccm
3. tbc 1
4. tbc taifa
5. daily news, habari leo
6. nec- hawa ni wafadhili wakubwa sana na wasingekuwa hawa ccm ingekua ishakua kama ilivyo kanu kwa sasa, hawa ni wachakachuaji wakubwa, wana phd katika maswala ya kuchakachua
7. redeti- hawa ni watu wa propaganda za ccm.
 
NATUMIA DADA YAKO KUFUKIRIA. YAPU NIMEWEKA YA CCM KWA HIYO UNATAKAJE? AU NEPI ATAKUMAINDI?

ANGALIA KIBARUA KISIJE OTA NYASI MAKE HAPA UKO KAZINI UNAINGIZA SIKU .

ORODHA NYINGINE YA WAFADHILI WA CCM NI HII HAPA.
1. TAKUKURU- HAWA NI WAFADHILI WAKUBWA SANA WA CCM HASAHASA KIPINDI CHA KAMPENI.
2. POLISI- HAWA PAMOJA NA KUISHI KWENYE VIBANDA KAMA BATA MZINGA, NI WAFADHILI WA CCM
3. TBC 1
4. TBC TAIFA
5. DAILY NEWS, HABARI LEO
6. NEC- HAWA NI WAFADHILI WAKUBWA SANA NA WASINGEKUWA HAWA CCM INGEKUA ISHAKUA KAMA ILIVYO KANU KWA SASA, HAWA NI WACHAKACHUAJI WAKUBWA, WANA PHD KATIKA MASWALA YA KUCHAKACHUA
7. REDETI- HAWA NI WATU WA PROPAGANDA ZA CCM.

Nimegundua kumbe nakimbizana na kichaa! sasa nikiendelea tutaonekana wote vichaa! bora nikuache ukimbie peke yako Nyau wewe
 
Jamani ninaomba mtu mwenye uhakika juu ya kuwa either chadema wanafadhiliwa na wafadhili toka nje au la atujuze.mana hi ni hatari
Kwanza fafanua ni hatari kivipi maana hata serikali yetu inafadhiliwa, pili mbona unaulizia cdm tu na sio vyama vyote vya siasa? Pamoja na ufadhili magamba wanachota toka bank kuu na taasisi mbali mbali za serikali na kuzifuja watakavyo
 
Wafadhili wengine wa CCM ni

Tume ya Uchaguzi ya Tanzania
Polisi wa Tanzania chini ya Mwema
 
Jamani ninaomba mtu mwenye uhakika juu ya kuwa either chadema wanafadhiliwa na wafadhili toka nje au la atujuze.mana hi ni hatari

mkuu tatizo mnachelewa jamvini. Wakati mama sofia simba alipopayuka kuwa cdm ina ufadhili haramu ,mnyika,na us embassy akampa onyo,thread nyingi zili discuss ishu iyo. Au unataka kusema what goes around comes around? Anyway naongeza mfadhili mwingne wa chadema: ni jamhuri wa muungano wa Tanzania. Hapa cdm wanapata Ruzuku ya maana kujiendesha. Pia ccm yenyewe ni mfadhili wa chadema kwa kuwapa raia mateso mpaka wakamwona cdm ndo mkombozi. Pia makada wake huisadia cdm sana,mfano kuna mzee sabodo anamwaga maela,pia mwakyembe,sita,na Nauye Nape ktk kampuni yao ya siri Ccj ndo huleta nyaraka kutoka kwa wanaotafuna taifa.
 
Back
Top Bottom