Waendesha pikipiki mz kwelikweli

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Jana mwendesha pikipiki alifanyia uharifu jijini Mwanza. Bahati nzuri raia mwema akawa anafahamiana na mwendesha pikipiki mwingine akampigia simu na kumtaarifu habari hizo, wakapigiana simu na kupangiana majukumu pasipo kuwahusisha polisi. Walioenda barabara ya kuelekea Bariadi ndo wamefanikiwa kumleta mharifu huyo asubuhi ya leo na tayari wamempeleka kituo cha polisi.
Kwa ushirikiano walioonyesha waendesha pikipiki, ni ukweli usiopingika kwamba raia tukiamua tunaweza kuokoa mambo mengi na kupunguza uharifu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom