Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Hao samaki wanaitwa eels au electric eels wanaweza kuzalisha umeme wa kiasi cha 650 volts wenye uwezo hata wa kuua mamba! God is amazing!
samaki?
Hao samaki wanaitwa eels au electric eels wanaweza kuzalisha umeme wa kiasi cha 650 volts wenye uwezo hata wa kuua mamba! God is amazing!
Vipi kuhusu nguo zinazotoa cheche wakati wa kuvaa au kuvua?
Kwa nini wana sayansi hawaja igeuza hii tech ikasaidia kuwasha taa badala ya TANESCO!!
for 100% wanatoa light 0% energy loss.
kwa balbu ya kawaida 10% ndio twapata light 90% ni energy loss loh
loh mwacheni GOD aitwe GOD..
if it was possible kumbe energ inayopotea unapowasha taa moja ingeweza washa taa 9 kama hatutapoza Energy tunapo washa taa 1.
yaani nguvu ya taa moja ingetosha washa Nyumba nzima. kama tutatumia hii God science
Ndio maana mi Naamini ALIENS wapo na wanayo technology hii...
umeme mkuu? Ulisupply wapi?hahah
wanaitwaje mkuu ili tucheck kwa google!
Mikunga(Electrict eel),pia ipo jamii ya kambale(cat fish) yenye tanesco na aina fulani ya samaki taa(electric-ray)wanaitwaje mkuu ili tucheck kwa google!