Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
- Thread starter
- #21
Daah! hii nayo kaliMmenikumbusha, stori moja ya watoto walioishi ama walizaliwa Uropa, ila wazazi wao wana asili ya Afrika (Bongo) na kidogo kiswahili wanakiongea, sasa wamekuja likizo uko na wamefikia shamba. Wazazi wao waliwataazalisha sana kuhusiana na Mbu na madhara yake. Usiku watoto wamelala na chandarua, na taa za shamba ni koroboi. Wakati wa kulala taa zimezimwa, mara wanawaona vimulimuli, ndivyo wanavyoitwa. Watoto wasipige kelele nini.... Eti "...Mamaaa Mbu wanakuja na taa zao, wanataka kutunyonya damuuu."