wadudu wanaowaka mwanga wa kijani usiku mnawajua?

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Haya wana sayansi wa jf, nina swali langu hapa. Bila shaka mmesha waona wale wadudu ambao hutoa mwanga wa kijani usiku, mwanga huo huwaka na kuzima, hivi ina maana wadudu hawa wana umeme kama sio sasa inakuwaje wanatoa mwanga?
 
hao wadudu wanaitwa fireflies. So, google FIREFLIES utapata jibu.

just like this:

Code:
  function collection google(String keyWord){

Collection results = internet.goGoogleDotCom.searchWeb(keyWord);
return results;

}

function void main(null)
{
   String keyWord;
  
if (iDontKnow(keyword) == true){
   Collection answers = google(keyWord);
}else{
    giveFacts.about(keyWord);
}
}
 
Haya wana sayansi wa jf, nina swali langu hapa. Bila shaka mmesha waona wale wadudu ambao hutoa mwanga wa kijani usiku, mwanga huo huwaka na kuzima, hivi ina maana wadudu hawa wana umeme kama sio sasa inakuwaje wanatoa mwanga?


Swali zuiri mkuu nimeelimika kumbe kwa kimombo wanaitwa fire flies . Kwa clue hiyo tufuatilie jibu then mtu atayepa maelezo mazurii aweke link hapa . Just a link.
 
Alafu hawa wadudu wako kwenye distiction wakati niko mdogo walikuwa wengi sana kijijini siku hizi nikienda siwaoni.
 
Inategemea macho yako yana uwezo gani wakuona wakati huwo, macho yetu yana uwezo wakuona na kutambua rangi nyingi,
Kutegemea na tupo wapi na hali gani,
Wadudu hao wapo wengi sana ila mapori ya mepungua na siisi wengi tuna ishi mjini kuliko zamani ndo maana hatuwaoni.
Nahisi tutawaona wengi maana hatuna umeme,na tutawategemea kuliko tanesco.VIVA TANESCO
 
Mmenikumbusha, stori moja ya watoto walioishi ama walizaliwa Uropa, ila wazazi wao wana asili ya Afrika (Bongo) na kidogo kiswahili wanakiongea, sasa wamekuja likizo uko na wamefikia shamba.

Wazazi wao waliwataazalisha sana kuhusiana na Mbu na madhara yake. Usiku watoto wamelala na chandarua, na taa za shamba ni koroboi.
Wakati wa kulala taa zimezimwa, mara wanawaona vimulimuli, ndivyo wanavyoitwa. Watoto wasipige kelele nini.... Eti "...Mamaaa Mbu wanakuja na taa zao, wanataka kutunyonya damuuu."
 
firefly-info0.gif

 
Haya wana sayansi wa jf, nina swali langu hapa. Bila shaka mmesha waona wale wadudu ambao hutoa mwanga wa kijani usiku, mwanga huo huwaka na kuzima, hivi ina maana wadudu hawa wana umeme kama sio sasa inakuwaje wanatoa mwanga?

Firefly

Firefly, or Lightning Bug, a beetle that produces light. The light is produced in special organs called photophores located on the underside of the abdomen. They consist of several layers of small reflector cells and a single layer of light-producing cells. The light-producing cells contain nerves, air tubes, and two types of chemicals— luciferin and the enzyme luciferase. When luciferin is activated by adenosine triphosphate (ATP) and luciferase, it combines with oxygen in the air tubes; this reaction produces energy in the form of a heatless, greenish-yellow to reddish-orange light. Fireflies produce light to attract mates. In most species, both sexes produce light.


firefly-info0.gif
Fireflies are beetles that produce light.

Most of the 2,000 known species of fireflies live in the tropics. About 60 species live in North America. The insects range in length from less than half an inch (12.7 mm) to more than an inch (25.4 mm).


Luciferin and luciferase, extracted from preserved photophores and purified, are used to detect ATP in a biochemical test. This test has applications in bacteriology, cancer research, oceanography, and space exploration.


Are Fireflies Flies, Bugs, or Beetles?
Fireflies are not really flies. Some people call them lightning bugs, but they are not bugs either. Fireflies are actually beetles.

The firefly is a flat, egg-shaped beetle 1/4 to 3/4 inches (5 to 20 millimeters) long. Its color is mostly brown or black. The firefly would be a rather ordinary beetle, except for one thing. At night, it can “light up.” You probably have seen fireflies whizzing around and flashing their lights on warm summer nights.


Some firefly larvae can glow, too. This is why people call them glowworms. Of course, they are not worms at all.


How Do Fireflies Make That “Cool” Light?
The firefly’s light is cool in more ways than one. Unlike natural and human-made light, it gives off no heat. The firefly’s light is produced by a complicated set of chemical reactions that take place in its abdomen. This complex process is called bioluminescence (by oh loo muh nehs uhns).



There are three layers to the organ that produces the firefly’s light. The innermost layer acts as a reflector. The middle layer contains the light cells. The outermost layer is clear and can be seen through.


Fireflies can control the light they produce. They send out light in a pattern of flashes. Scientists believe that fireflies do this by regulating the amount of oxygen they take into their bodies. Oxygen is the fuel that helps create the light.


What Do All Those Flashes Mean?
The male firefly flashes its light for a very important purpose. It wants to find a mate. When it gets dark, the male firefly flies through the night. It flashes its light like a signal. Each kind of firefly has its own signal.



The female firefly has short wings and often can’t fly. It perches itself on a bush or a rock and waits. When a male passes by with a signal the female recognizes, the female flashes back the same signal. The male lands and touches the female’s antennae. This is how fireflies smell each other. If the female smells right to him, the two fireflies will mate. Later the female lays her eggs.

Fireflies belong to the families Elateridae and Lampyridae of the beetle order, Coleoptera.


From: how stuff works
 
Kwa nini wana sayansi hawaja igeuza hii tech ikasaidia kuwasha taa badala ya TANESCO!!

for 100% wanatoa light 0% energy loss.

kwa balbu ya kawaida 10% ndio twapata light 90% ni energy loss loh

loh mwacheni GOD aitwe GOD..
if it was possible kumbe energ inayopotea unapowasha taa moja ingeweza washa taa 9 kama hatutapoza Energy tunapo washa taa 1.

yaani nguvu ya taa moja ingetosha washa Nyumba nzima. kama tutatumia hii God science

Ndio maana mi Naamini ALIENS wapo na wanayo technology hii...
 
hao wadudu wanaitwa fireflies. So, google FIREFLIES utapata jibu.
Asante kichwat, nilikuwa sijui hata wanaitwaje kwa kimombo. Naona watu wadau wameshaleta link ya google hapa, acha niiperuzi niweze elimika zaidi.
 
Back
Top Bottom