Wadosi wafanywa Watumwa Uganda!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Katika pitapita za maswala ya Uganda nilikumbana na hii hadithi!


CENTER]



Chris Kiwawulo
Gladys Kalibbala

SOME Asian businessmen in Uganda have been implicated in a slave trade-like scam. They lure workers from Asia, mostly from India and Pakistan, with promises of good pay. Upon arrival, however, they seize their passports and exploit them shamelessly, forcing them to work long hours with little or no pay.

When the workers start complaining, their employers alert Immigration, which arrests them and deports them as illegal immigrants. They then import a new group of workers and the cycle continues.

A number of such cases are being investigated by the Uganda Human Rights Commission (UHRC) and the Ministry of Labour. Indian victims say they are told to leave their passports with their employers, acknowledgements of which, Saturday Vision has seen.

UHRC and the ministry are handling passport complaints of Faisal Iqbar, Rashik Bhaat, Safraz Anwar, Sanjiv kum.ar and Shabbir Asif, among others.
Asif, the holder of passport number AA5139661, on February 22, 2008 complained to UHRC over his bosses’ continued holding of his passport. He is a former employee of Igloo food industries limited.

Asif said like many others, he was sacked when he demanded for his documents and millions of shillings in salary arrears.

The latest incident was on February 28, when 19 employees were reportedly fired without payment of their arrears.
Saturday Vision has obtained copies of letters from the labour ministry’s Jinja-based directorate labour to Marine and Agro Export Processing Limited, seeking explanations for holding passports and non-payment of salaries....MORE
 
Mchezo huu mchafu unafanywa duniani kote,ila huku kwetu tumezoea kuona ni sisi weusi tunaolalamika juu ya kutumikishwa na wadosi bila malipo.Mahali pengine inajulikana wazi kuwa wahindi ni cheap labour nje ya India.Sina hakika na hili,eti mabinti wa kazi huko Uarabuni ni wahindi toka India,kwa hiyo sio ajabu hao wa Uganda.Je jamaa zetu wanaoruka Ulaya na wakaishia kutunza vizee tuwashauri nini? Kimsingi ukiambiwa kuna kazi nje ya nchi wengi huwa tunachanganyikiwa sana,ukifika huko ukaonyeshwa kazi yenyewe ndo unachoka.Mfano mtu anakwambia kuna nafasi ya fundi Umeme huko Ujerumani na wewe unakurupuka na vyeti vyako,wakati huko kuna mafundi maelfu kwa maelfu wasio na kazi,kwa vyo vyote vile hiyo kazi ni kimeo
 
nimefika na kuishi huko unakosema ulaya, lakini mimi nilienda kusoma. kati ya kazi ambazo hazihitaji wasomi huko mataifa ya magharibi, ni kutunza wazee kwenye nursing homes zao. hii sio kwa watu toka huku tu, hata wazungu wenyewe wanafanya hivyo, kwasababu ni kazi ya aibu kidogo lakini inalipa sana. wazee wenyewe usifikiri wanaishi kama bibi yako, kwa hapa bongo, ningefananisha na kama wanaishi pale hotel ya kilimanjaro kempiski. nursing homes zao ni nzuri kama hotel ya kimataifa. wanapata chakula safi na mazoezi ya kutembeatembea na wanahudumiwa vizuri. pia, kuna vifaa kama hao wahudumu wanawahudumia kama vile, machines za kuwanyanyua na kuwakalisha kwenye choo n.k. hawafanyi hivyo kwa mikono mitupu. na wanalipwa hela kubwa. kama hautaki kufanya nursing homes, then usome shule upate kazi nzuri, na sio kule, urudu huku bongo. kama wewe umesoma na uko kule unaweza usipate kazi vilevile kwasababu ya ubaguzi. napinga kwamba watu wa kutoka huku tu ndo hufanya kazi zile, hata wazungu waliokimbia shule hufanya vilevile. chao.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom