wadogo marhaba..wakubwa habari zenu

Kimolah

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
543
709
kiukweli sikuwahi kufikiria kujitambulisha ...lakini baada ya kukaa na kulitafakari jambo hili, nikafikia uamuzi wa kujitambulisha... naitwa "Kimolah" nitaendelea kuwepo humu kujadiliana na ku-share kile ninachofahamu..naomba ushirikiano wenu,,...
 
Dogo ebu amkia! Unapenda shikamoo halafu wewe utaki kuamkia wakubwa zako.
Anyway Karibu sana Jamvini
 
kiukweli sikuwahi kufikiria kujitambulisha ...lakini baada ya kukaa na kulitafakari jambo hili, nikafikia uamuzi wa kujitambulisha... naitwa "Kimolah" nitaendelea kuwepo humu kujadiliana na ku-share kile ninachofahamu..naomba ushirikiano wenu,,...

......................kimola,karibu sana uamuzi wako wa kujitambulisha ni mzuri,.......................hawajambo huko planet earth,.............................sio kila kiaandikwacho kina maana,mengine ni maandishi tuu......................karibu sana
 
Back
Top Bottom