Wadauu hebu tukumbushe kuhusu DESI.

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
wadau nilikuwa napumzika nikakumbuka jinsi desi1(kunda mbegu na kuvuna mara mbili zaidi) je wewe uliathika kwa kiasi gani? Maana hikitu haikuchagua mzee,mtoto,kijana,msomi,asiesoma,mchamungu,asiemcha mungu,wafanyakazi, wasio na kazi,wanasiasa.je ww ulitendwa na hawa jamaa??
 
Mambo ya kukumbushana vilio vilivyoanza kusahaulika hayafai! Watu tumepoteza vi em5 bhana! Swali kwa wadau wenzangu, hivi tukichimbachimba ardhini kwa mda mrefu hatutaweza kupata mbegu zetu japo zilizodhoofika? Au ndo zishaliwa na mchwa ivo?
 
Pole wajad hii ndio nchi dharimu,hawakuweza hata kuwafikilia wananchi wanyonge na wakaizima hivi hivi.inaniuma sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom