Wadau wenye diploma za vyuo vilivyo chini ya NACTE

williardkikoti

New Member
Aug 1, 2013
4
0
Wakuu nisaidieni nina mdogo wangu hayupo kwenye orodha ya ambao wanatakiwa kuapply kwa mara ya pili na nikicheck profile yake iko hivi SELECTION IS ON PROGRESS, you will be notified when it is done. Ni kawaida hii hali???
 
hata ya mke wangu nayo ipo hivyohivyo lakini mwanzoni kulikuwa na button inayokupa opttion ya ku edit selection lakin saiv haipo,ndo hivyo pia kwa wengine?
 
Sasa km haliko..maana yake si amepita..simpo as that ..hajiamini au
 
mm ivo ivo naambiwa selection is on process bt kwa upande wa editing selection ipo vile vile hii imekaaje kwanini ikuwepo hii sehemu ya editing selection wakati dateline imeshapita na jina langu halimo katika waloambiwa wafanye tena maombi.
 
Hapa utata kwa sababu sehemu ya editing bado ipo na mimi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom