Wadau week end ndefu hiyoo...

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,005
10,632
Wana JF wenzangu,kama tunavyofahamu kuwa siku 5 mfululizo zijazo tutakuwa na mapumziko ya sikukuu ya PASAKA na kufuatiwa na Siku ya Muungano.Tutakiene heri tupite salama bila mawaa.Tusisahau sala na iibada zinazoambatana na mapumziko haya (kwa waumini).Cheers...!(Na maji ya Ilala kidogo + digital lager+savannah).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom