Wadau wa mtandao wa TIGO: Mtandao huu ni matapeli, wasumbufu, hawana adabu! WANAKERA

Bado nipo njia panda.. Ukizingatia nikihama mtandao nitaidhuru biashara yangu, coz wengi huwa wananipigia na wanatumia tigo. nifanyeje ili kubalance mawasiliano kwa wateja wangu
jisajili na mtandao mwingine kisha wapigie watu kuwajulisha una line ya ziada na wa isave !
 
tiGO ni mtandao wa kishenzi wanatakiwa wachunguzwe. Yaani ni majizi na matapeli wa kimataifa. kama unata kuamini, weka sh. elfu 2 katika simu yako ya mtandao huu, tuma sms kwa watu kumi tu kisha angalia salio ndio utanielewa kitu nasema.
Kwa vile umewasilisha hoja ili nami nichangie, sasa mchango wangu ni huu:
Itumie line hiyo kwa kupokea tu, yaani sh. mia 5 inatosha kukuweka hewani mwaka mzima, pata line ya mtandao mwingine rahisi na bomba wakutengenezee special number, yaani no. kama hiyohiyo na uwajulishe wateja wako wote ili baadae ukichomoa hicho kimeo msije kupotezana.
Pole. wenzio tulishachukua hatua
 
hawa jamaa mi hata siwaelewi maana wana msg za kijinga sana ....................linalonikera ni kuniunganisha kwenye internet .....sijui kwanini tunaburuzwa watanzania......msg za ajabu kila kukicha hazina kichwa wala miguu..........
 
Tigo wezi kishenzi, POPOBAWA kashahamia airtel siku nyingi.
POPOBAWA.
 
Bado nipo njia panda.. Ukizingatia nikihama mtandao nitaidhuru biashara yangu, coz wengi huwa wananipigia na wanatumia tigo. nifanyeje ili kubalance mawasiliano kwa wateja wangu

unaomba ushauri then unakuja na misimamo yako we vipi kuwa + bana.fanya maamuz ya kiume
 
Safaricom,MTN karibuni Tanzania pengine wizi wenu utaishia kwenye kodi za TRA sisi wateja huduma safi!
 
unaomba ushauri then unakuja na misimamo yako we vipi kuwa + bana.fanya maamuz ya kiume

Hayo maamuzi yenu ya kiume ndio yanayowafanya mteseke na viongozi feki.. ninachopima hapa ni advntg na disadvtg, sio kukurupuka tu. Ila nashukuru kwa ushauri
 
Back
Top Bottom