Wadau wa mtandao wa TIGO: Mtandao huu ni matapeli, wasumbufu, hawana adabu! WANAKERA

Mimtamu

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
368
105
Habari wana Jf wenzangu.

Mwenzenu nimeamua kufunguka baada ya kuona maji yananifika shingoni. Kila mtu anajua umuhimu wa mawasiliano hasa ya simu katika dunia yetu ya leo. Leo kero yangu naihamishia katka mtandao wa TIGO.
Kama mambo haya yananikuta mimi tu basi line yangu inamatatizo,
1. Ninapata sms zisizopungua 20 kutoka TIGO kwa siku halafu hazina kichwa wala miguu
2. Nikijiunga internet mobile na inapokwisha muda wake, wananiunganisha kila siku bila idhini yangu na wananikata hela
3. Tangu huduma ya kukopa salio lianze sijawahi kukopa lakini natumiwa sms kuwa deni langu ninalodaiwa sijalipa
4. Juzi nilinunua muda wa maongezi katika TIGO PESA lakini cha kushangaza wamenikata hela ktk Tigopesa lakini salio halikuongezwa mpaka muda huu
5. Tangu mwaka huu uanze sijawahi kupokelewa simu zangu katika huduma zao za customer care wao
6. Wamekuwa wezi wa salio, kwani hata kama hujatumia ukiangalia salio baada ya muda fulani unakuta limepungua
7. Niwasumbufu wakati wa mawasiliano.

Natamani niuache mtandao huu laki namba yangu ndio ninayoitegemea ktk biashara zangu na wateja wangu wengi wana namba ya tigo kuliko mitandao mengine. Swali langu wadau, Matatizo kama haya yanachukuliwa hatua na mamlaka ipi katika serikali yetu? Haki zangu nitazipata vipi, maana hapa wanakesi ya kujipatia pesa kwa njia ya utapeli.
Kwakweli inaniuma sana, INAKERA SAAAAAANA!!

Nawasilisha kero yangu
 
huo mtandao wakijinga sana,wenzio tushawakimbia zamani za kale,pooor service
 
Tigo ni wezi wa kutupa
nadhani hayo ma meseji
yao wanayotutumia
bila idhini ndo wanayalipizia,kwenye
pesa zetu!
 
Hawa jamaa wanakera sana.Hata ukienda tume ya mawasiliano utapoteza muda bure tu.Anza kuhama mtandao taratibu,,,,,,,mmmm,,,,,eeee halafu ID yako nimeipenda sana!
 
kiukwel tigo niliiamini sana ila huduma zao ni very poor,hata offer zao ni wizi mtupu hv kama huduma yao ni nafuu tigo kwenda mtandao mwingine ni uongo mtupu,i hate tigo bora nihamie....
 
Habari wana Jf wenzangu.

Mwenzenu nimeamua kufunguka baada ya kuona maji yananifika shingoni. Kila mtu anajua umuhimu wa mawasiliano hasa ya simu katika dunia yetu ya leo. Leo kero yangu naihamishia katka mtandao wa TIGO.
Kama mambo haya yananikuta mimi tu basi line yangu inamatatizo,
1. Ninapata sms zisizopungua 20 kutoka TIGO kwa siku halafu hazina kichwa wala miguu
2. Nikijiunga internet mobile na inapokwisha muda wake, wananiunganisha kila siku bila idhini yangu na wananikata hela
3. Tangu huduma ya kukopa salio lianze sijawahi kukopa lakini natumiwa sms kuwa deni langu ninalodaiwa sijalipa
4. Juzi nilinunua muda wa maongezi katika TIGO PESA lakini cha kushangaza wamenikata hela ktk Tigopesa lakini salio halikuongezwa mpaka muda huu
5. Tangu mwaka huu uanze sijawahi kupokelewa simu zangu katika huduma zao za customer care wao
6. Wamekuwa wezi wa salio, kwani hata kama hujatumia ukiangalia salio baada ya muda fulani unakuta limepungua
7. Niwasumbufu wakati wa mawasiliano.

Natamani niuache mtandao huu laki namba yangu ndio ninayoitegemea ktk biashara zangu na wateja wangu wengi wana namba ya tigo kuliko mitandao mengine. Swali langu wadau, Matatizo kama haya yanachukuliwa hatua na mamlaka ipi katika serikali yetu? Haki zangu nitazipata vipi, maana hapa wanakesi ya kujipatia pesa kwa njia ya utapeli.
Kwakweli inaniuma sana, INAKERA SAAAAAANA!!

Nawasilisha kero yangu

co hayo 2 mkuu...tokea wiki iliyopita mpaka leo, unaweza ukawa na salio(sh.600) kwenye cm lkn ukipiga unaambiwa huna hela wanakulazimisha ukope.WanaKERAA mpaka bac
 
nakushauri toa tigo caller tune wanakata 27 kila siku na 300 kwa mwezi! Alaf wanaokopa riba yao ni kubwa sana 10% kwa pesa ndogo ni hatari, nlivyoo ona haya yote cjawah kukopa na nikatoa caller tune. Wanakera mbaya. Npo airtel mtandao wa ukweeee. Ama ama wasubiri nn! Customer care si wanawake kaz umbea kazn!
 
niliweka humu mtandaoni sikujibiwa hata mtu mmoja, mna upendeleo au? hata hivyo usemavyo ni kweli tupu , dawa ni kuto weka hela wiki nzima. Wizi mwingine wanakupa no. 0713800800 ambayo unalipia hata kama huduma ujatumia, wanakwepa sana maswali ndio maana customer service hawapatikani, maana utawauliza juu ya wizi huu
 
Habari wana Jf wenzangu.

Mwenzenu nimeamua kufunguka baada ya kuona maji yananifika shingoni. Kila mtu anajua umuhimu wa mawasiliano hasa ya simu katika dunia yetu ya leo. Leo kero yangu naihamishia katka mtandao wa TIGO.
Kama mambo haya yananikuta mimi tu basi line yangu inamatatizo,
1. Ninapata sms zisizopungua 20 kutoka TIGO kwa siku halafu hazina kichwa wala miguu
2. Nikijiunga internet mobile na inapokwisha muda wake, wananiunganisha kila siku bila idhini yangu na wananikata hela
3. Tangu huduma ya kukopa salio lianze sijawahi kukopa lakini natumiwa sms kuwa deni langu ninalodaiwa sijalipa
4. Juzi nilinunua muda wa maongezi katika TIGO PESA lakini cha kushangaza wamenikata hela ktk Tigopesa lakini salio halikuongezwa mpaka muda huu
5. Tangu mwaka huu uanze sijawahi kupokelewa simu zangu katika huduma zao za customer care wao
6. Wamekuwa wezi wa salio, kwani hata kama hujatumia ukiangalia salio baada ya muda fulani unakuta limepungua
7. Niwasumbufu wakati wa mawasiliano.

Natamani niuache mtandao huu laki namba yangu ndio ninayoitegemea ktk biashara zangu na wateja wangu wengi wana namba ya tigo kuliko mitandao mengine. Swali langu wadau, Matatizo kama haya yanachukuliwa hatua na mamlaka ipi katika serikali yetu? Haki zangu nitazipata vipi, maana hapa wanakesi ya kujipatia pesa kwa njia ya utapeli.
Kwakweli inaniuma sana, INAKERA SAAAAAANA!!

Nawasilisha kero yangu

hamia kwingine, ndio jawabu halisi. Tume ya mawasiliano wanakula pamoja, utapoteza muda tu
 
Bado nipo njia panda.. Ukizingatia nikihama mtandao nitaidhuru biashara yangu, coz wengi huwa wananipigia na wanatumia tigo. nifanyeje ili kubalance mawasiliano kwa wateja wangu
 
Back
Top Bottom