wadau wa hammer kitu hiyoo.

attachment.php

umeliokota iraq nini?duh sasa hii kali
 
silent nimeliita hammer kwa sababu nilijua ndo litaeleweka kirahisi kwani wa tz wengi hawalijui humvee.

Unatudharau sana Watanzani, labda ni wewe unaanza kuyajuwa hayo leo. Wemgine tunayajuwa toka vita ya kwanza ya Gulf War yalipoanza kujulikana duniani.
 
hivi kwenu milango ni top au ni nafasi ya kupitia?
milango si hiyo hapo au unapoangalia mpaka ukaona viti unafikiri hhayo ni madirisha?

Umenifanya nitabasamu, Bakhera angekuwa na hasira akiuza asingefika alipo. Haya kwenye hayo madirisha weka 'the so called tops' tukutumie 'nyoka' wa Mererani analihitaji.....
 
kwa wale wajanja wanaojua hii kitu wawasiliane na mimi,imesajiliwa tanzania na imelipiwa kodi zote bei maelewano.
piga namba hii 0754533784
Tuletee sisi wenyeji wa mabwepande tunajua ubora na matumizi ya vifaa kama hivyo tutachukua mzigo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom