Wadau wa football msaada wa jez nzuri

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Jamani naombeni msaada ni maeneo gani naweza kupata jez za ukweli hapa Dar nimekuwa natafuta jez zenye quality lakin czipati mfano nahtaj jez ya simba taifa stars en Manchester united nisaidien jamen
 
Jamani naombeni msaada ni maeneo gani naweza kupata jez za ukweli hapa Dar nimekuwa natafuta jez zenye quality lakin czipati mfano nahtaj jez ya simba taifa stars en Manchester united nisaidien jamen
.

Wala usipate taabu kaka nenda maduka ya zizzou kariakoo ama pale Victoria karibu na petrol station utapata jezi za ukweli najua wako wengine wengi ila hapo ni uhakika.
 
Back
Top Bottom