Wadau wa Arusha nionesheni

Captain Phillip

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
894
536
Niko Arusha kwa mapumziko kama alivyokuja mzee wa anga.Nahitaji kwenda
Ma##ko Bar leo pliz wadau nielekezeni ni wapi.Taxi huwa sipandi wa boda boda nna kabaj kangu.Natanguliza shukrani.
 
kwa hali hii ya hewa......na huo usafiri wako....mmmh....tafuta mwenyewe ilipo......
 
Karibu sana...ukichua taxi wanapajua otherwise ukifika kwenye mataa uliza watakuonyesha
 
nashuruni kuna muungwana mmoja kanielekeza muda si mrefu ntatia maguu hapo nna hamu sana kuona yale nayosikiaga
 
Niko Arusha kwa mapumziko kama alivyokuja mzee wa anga.Nahitaji kwenda
Ma##ko Bar leo pliz wadau nielekezeni ni wapi.Taxi huwa sipandi wa boda boda nna kabaj kangu.Natanguliza shukrani.

kama unatokea mianzini kuelekea sanawari iko mkono wako wa kushoto kabla ya njake petrol station ila hawajaandika hilo jina wameandika arusha park kama sikosei na chanzo cha hilo jina siunajua tena yale mambo ya akina dada kuwa na maajaliwa
 
Basi niwapatie feedback.Nimefika pale na kiu yangu ya nanihini nikajibebea mzigo mapema mapema manake sina ujasiri wa kulala na mtu nisiyemjua.Nikaenda kwa hotel kudandia motokari.Nimeweweseka na hiyo kitu wee kuja kujikuta nime-sweat mbaya then kutafuta AC ndo nagundua hakuna eti sababu Arusha kuna Baridi.Yaani elfu sabini imeniuma mno kulipia chumba kisicho na AC.
 
looooohh uongo kaka,gest gani hiyo
 
Mkuu guest kabisa!!Long tym sijalala huko.Ni hotel mpya nas cha kushangaza wanatumi mpaka access card ns hata bill nimelipia visa card just to show you ilivyo tofauti but kukosa ac nimechoka
 
kalio bar imechujaaa mzee siku hizi njoo first and left leo...
 
Siku hizi wale wa hapo wamehamia bar moja kule sakina
Karibu sana mkuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom