Wadau ni sheria ipi inaruhusu kufunga magari minyororo?

MAKIRA

New Member
Aug 23, 2012
4
1
Je ni sheria ipi ambayo inamzuia upande mmoja kwenye mkataba kuvunja mkataba pale ambapo upande mwingine hautendikadri ya makubaliano au wakala anapofanya jambo ambalo linanyanyasa wadau wako? Hebu pata habari hii



sasa kuna jambo moja nataka nikueleze as u well know kwamba kuna kampuni ya ukusanyaji ushuru ya makumira filling station kwa kweli kwa muda mrefu imekuwa kero kubwa kwa watu hapa mjini kutokana na kampun hiyo kushinda kufunga minyororo magari ya watu na kuwatoza gharama kubwa elfu 80!

Kwa kweli suala hili linakera na wengi wanasema haya ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania? Kwa kipindi hiki cha movement for change inayoendeshwa na chadema itabeba wengi ambao wamechoka na manyanyaso ya kampuni hii inayoongozwa bw. Aitwaye ruta sijui ruta nani!

Manispaa wameshindwa kumsimamia mtu huyu kwa madai kwamba walishampa mkataba na analeta mapato 12mln per month ndo kisa wanamwogopa eti wakimwuliza anawauliza ataleta mapatogani?

Lakini najiuliza hiyo kampuni iliambiwa ikakabe watu ndo ilete pesa should it make/collect money through miseries life of people or should the municipal continue making people more poor or suffer by collecting what they dont have?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111

its very sad and supprising but keeping as worried on how we can survive in this environment! This needs urgent and immediate attention of the party as we dont want to loose our members for acts of other people which are unacceptable!

Mwishoni watu wamejenga chuki na serikali yao because of this stupid practices of ruta and his company. Who i s he by the way1 the municipal has left its roles of protecting people and now they are protecting mafisadi for them to collect mere?

Hivi hata kama umempa mtu lesen ya kununua mbolea sasa ndo sababu akalete mbolea iliyo chini ya viwango for a just simple reason that she/he had a contract with you? Should he left to continue causing miseries to our people???!!!

Some thing needs to be addreesed

wishing you all the best in this saga.

 
Back
Top Bottom