Wadau naomba ushauri

kusisimba

Member
May 20, 2011
37
1
Ni wiki kama mbilli hivi, mapigo ya moyo yamebadilika sana, kwani yamekuwa ya kasi sana , hata nikilala nayasikia. Hivi tatizo laweza kuwa nini? Naomba msaada wadau wa jf.
 
Inawezekana ni Hypertension hiyo kutokana labda na msongo wa mawazo a.k.a stress. Nenda hospital kaka ukapate tiba maana hypertension ni silent killer:mod:

Jaribu kubadili vilevile mfumo wa maisha yako, na anza kufanya mazoezi na punguza misosi hasa yenye mafuta mengi na pendelea kula vyakula vya kuoka na kuchemsha kuliko vya kukaanga kwenye mafuta. Punguza chumvi vilevile. Na kama ni mnywaji basi punguza tungi na kama ni mvutaji kama mimi acha kuvuta.
All the best and hope utapona soon!
 
mzee nimekupata kwakweli, ushauri strongly taken.thanks

safi naona umemgonga thanks. Kwa tatizo lolote la kiafya muhimu kumcheki dokta kwa ushauri na tiba. Maana sometimes ni kawaida tu na hatujui limeanza lini.
 
Tatizo hilo linasababishwa na vitu kadhaa..tatizo katika milango ya vyumba vya moyo,tatizo katika mishipa mikubwa ya damu,mvurugiko wa homoni ya thyroid(thyrotoxicosis),upungufu wa damu,ujauzito.....ni vizuri tatizo lako likachunguzwa zaidi katika hospital.
 
Back
Top Bottom