Wadau naomba mnitajie security cod za SAMSUNG

SR senior

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
358
67
Nna samsung yangu C6112 nataka niwe na lock sms sasa inanidai cods naomba mnifahamishe.
 
kama unahitaji zile code za kwanza ni sefuri 0000 ila nimesahau marangapi. So jaribu sefuri mara 4, 6 na 8
 
Nna samsung yangu C6112 nataka niwe na lock sms sasa inanidai cods naomba mnifahamishe.

Mimi ninatumia samsung GT 3212. Niliponunua,iliniagiza niingize mimi mwenyewe code za kuanzia. Sina uhakika kama ni kwa samsung zote.
 
Back
Top Bottom