Wadau naomba mniambie faida ya nyumba ndogo

KENJA

New Member
Nov 16, 2011
2
0
wadau wote wa JF katika column hii plse naomba mniambie faida ya nyumba ndogo na kwa nini wanaume walio wengi wanapenda nyumba ndogo,kuna jamaa yangu kaoa juzi tu lakini tayari kwa sasa ana nyumba ndogo
 
Mulize rafiki yako nadhani atakua kwenye nafasi nzuri sana yakukueleza nini anapata kwenye nyumba ndogo na nini anakosa kwa mkewe...
 
Ukitaka kujua ukali wa pilipili ama utamu wa asali unaonja mwenyewe.Tafuta nyumba ndogo yako utajua faida zake.
 
Nyumba ndogo haina faida yeyote, rather you will face the following problems:
  1. Kuporomoka kwa hali yako ya uchumi kutokana na kuhudumia familia mbili
  2. Uwezekano wa kupata magonjwa hatari kama ukimwi na magonjwa ya zinaa kuongezeka.
  3. Kutokujiamini hasa mbele ya mkeo na kuishi kwa sasiwasi ukihofia mkeo asijue una nyumba ndogo
  4. Kumkosea Mungu wako
  5. Stress za kila siku hasa ukifikiria uwezo wa kuishi naye na kuwa huru nae huna, so inawezekana pia kuwa wenzio wanakusaidia kazi hasa mida ya usiku wakati uko na mkeo wa ndoa
Just few, zingine wadau ongezeeni.
 
Sasa unafikiri kwa nini watu wanapenda kuwa na nyumba ndogo licha ya yote uliyoyasema?
 
Sasa unafikiri kwa nini watu wanapenda kuwa na nyumba ndogo licha ya yote uliyoyasema?

Ni ushupavu wa dhambi tulionao binaadamu, PERIOD!
 
nyumba ndogo kwa ajili ya kukupunguzia stress na kuongeza familia hapa duniani kwa kuzalisha watoto.Nalog off
 
wadau wote wa JF katika column hii plse naomba mniambie faida ya nyumba ndogo na kwa nini wanaume walio wengi wanapenda nyumba ndogo,kuna jamaa yangu kaoa juzi tu lakini tayari kwa sasa ana nyumba ndogo

Faida nyingi kuliko hasara.
Stress zinapunguzwa na nyumba ndogo
 
wadau wote wa jf katika column hii plse naomba mniambie faida ya nyumba ndogo na kwa nini wanaume walio wengi wanapenda nyumba ndogo,kuna jamaa yangu kaoa juzi tu lakini tayari kwa sasa ana nyumba ndogo
hakuna!!!!
 
Hakuna faida yeyote...wale wanaume wote mlio pro-nyumba ndogo (namaanisha wale walioko kwenye ndoa tu) mna bahati sana especially huko nyumbani Tanzania kwani sheria bado ziko lege lege sana. Hapa wife akidhibitisha una mahusiano nje ya nyumba na aka file kwa divorce...lawyers wana ku clean, yaani una safishwa mpaka unabaki mweupeee. Hata kama mamaa hana mtoto wako lakini mahakama itakufanya umlipie spousal support mpaka siku atakapokuja kuolewa tena. So mnagawana mali 1/2 (nyumba anapewa yeye most of the time kama mna watoto) na kama mna watoto unapigwa child support, na bado kuna hiyo spousal support. IT DOES NOT WORTH IT! Fikiria watoto mna share weekend hii wako huko, weekend hii wako kule, wanakosa mapenzi ya dhati, wanakuwa rahisi ku pick sides (baba vs. mama nani mzuri na nani mbaya). Wanakuwa involved kwenye mahusiano na watu wengine wasio na umuhimu kwao eg. Mama akipata boyfriend(boyfriends) na baba akiwa na girlfriend(girlfriends).
Fellas, acheni hii kitu wala si ya ku intertain kabisa.
 
faida nyingine tunajua npk undani wako lkama una udhaifu tunaujua maana nyumba ndogo yeye atasema tu, ila mke atakufichia siri!
 
msitudanganye,wengi humu mnajitia kukandia,mkishakutoka jf tu,inakuwa kinyume chake.
 
DNA ya binadamu imetofautiana na ya Apes(nyani) kwa asilimia 2% tu!!! Ndio kusema binadamu tuko kalibu sana na hao nyani kuliko wanyama wote. Wenzetu Apes au ukipenda nyani, wao bado wanakuwa na majike wengi. Sasa kwa nini binadamu wasiwe na wanawake wengi au nyumba ndogo ukipenda?
Biologically, mwanaume ni kwa ajili ya kuzalisha na si kutunza. Ndio maana hata katika dini nyingine zimeruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja.
Mbona wewe unapofuga kuku au ng"ombe unafuga majike 10 na kuwa na dume mmoja, au kwa nini usifuge madume 10 na ukawa na jike moja?
 
Back
Top Bottom