WADAU MNAONAJE, Taifa Stars hii imetulia?

IslamTZ

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
309
182
Kikosi kamili ni; Juma Kaseja, Shaaban Kado, Said Mohammed (makipa), Shadrack Nsajigwa, Stefano Mwasika, Nadir Haroub , Agrrey Morris, Kelvin Yondani , Juma Nyosso (mabeki), Shaaban Nditi, Henry Joseph, Nurdin Bakari, Idrissa Rajabu, Seleman Kassim, maarufu Selembe (viungo), Salum Machaku, Mrisho Ngassa, Jerryson Tegete, Nizar Khalfan, Jabir Aziz na Abdi Kassim, Athuman Machuppa, Said Maulid ambao ni washambuliaji.

WADAU MNAONAJE, Taifa Stars hii imetulia?
 
Tatizo sio kusoma majina yao kwenye magezeti na kusema imetulia, ni kweli ukisoma majina imetulia, tatizo ni pale wanaposhindwa kufunga magoli, sijui hili tatizo litakwisha lini maana linaniumiza sana.. hivi Tz hatuwezi kufuata mfano wa Ufaransa kuwapa uraia wachezaji ambao wanaonekana wanaweza kua suluhisho la tatizo la upachikaji magoli, kutoka rwanda au uganda, nk... maana mastriker wetu ni hatari tu kwenye ligi yetu lakini ukija kwenye mechi ya kimataifa utata mtupu, kama john boko, alikua kimeo kwenye challenge lakini juzi kawa funga yanga goli mbili kwenye mechi ya kirafiki...!!!!
 
Kikosi kamili ni; Juma Kaseja, Shaaban Kado, Said Mohammed (makipa), Shadrack Nsajigwa, Stefano Mwasika, Nadir Haroub , Agrrey Morris, Kelvin Yondani , Juma Nyosso (mabeki), Shaaban Nditi, Henry Joseph, Nurdin Bakari, Idrissa Rajabu, Seleman Kassim, maarufu Selembe (viungo), Salum Machaku, Mrisho Ngassa, Jerryson Tegete, Nizar Khalfan, Jabir Aziz na Abdi Kassim, Athuman Machuppa, Said Maulid ambao ni washambuliaji.

WADAU MNAONAJE, Taifa Stars hii imetulia?

Binafsi nilitegemea wakongwe wangekuwa 12, na wengine wangetoka kwenye ile Ngorongoro Heroes (U20) iliyotolewa na Ivory Coast ili wazoee kuitwa mara kwa mara kwenye kikosi cha wakubwa ili wakiitwa kamilikamili wasianze "oo nimefurahi sana kocha kuniona nilikuwa naota kila siku kuchezea stars"
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom