...... Wadau mie harufu ya "NDOMU"... huniandama wiki nzima....

WaliNazi

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
851
96
....yani nikifanya mapenzi na binti kwa kutumia MPIRA.... ile harufu hudumu ngozini wiki nzima...... na siiipendi..... wanaume wenzangu what do u do to get rid of that.......... heelllpppp pz.
 
Mkuu ,
si uachane tu na hayo makitu ?
Kwa nini ujikalifishe kuoga na nguo ?
While muda wa kuoga itakikanavyo uoge hua haukawii ?
 
Wali nazi nijuavyo mim ni mtamu sana sa sijui na wewe ni mt... Ok tuyaache hayo

uwe unakoga mara baada yakumaliza shughuli on the spot, na sio kukaa zaidi ya masaa kadhaa...
Harufu ikizidi oa ili uwe unafaidi kavukavu...
 
...achana na MSD...tunaotumia Louis Vuitton mbona hatupatagi matabu...ukimaliza chezo unapandisha suruali unaenda...afu ukikutana na mtu anakuuliza e bana hiyo perfume yako inaitwaje??
 
....yani nikifanya mapenzi na binti kwa kutumia MPIRA.... ile harufu hudumu ngozini wiki nzima...... na siiipendi..... wanaume wenzangu what do u do to get rid of that.......... heelllpppp pz.

Ndiyo ukome kufanya kwako zinaa...
 
next time wewe usivae mwambie shem ndo avae inaitwa lady ppt. ila ndo utajisikia ka unachovya kwenye mfuko wa rambo.
 
...achana na MSD...tunaotumia Louis Vuitton mbona hatupatagi matabu...ukimaliza chezo unapandisha suruali unaenda...afu ukikutana na mtu anakuuliza e bana hiyo perfume yako inaitwaje??

...Louis Vuitton...ndo naiskia hapa...ni aina ya "mpira"?
 
oa kijana..zinaa sio nzuri inaleta ufukara na umaskini kama huamini angalia wazinzi wote hali zao za kimaisha kila siku hawaishi kulalamika maisha magumu..
 
Back
Top Bottom