Wadau kwani huu msemo wa kuwa tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa sheria una wateule ehee!!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,277
13,212
Huu msemo umekuwa kama ndio staili ya watawala wetu katika kuwalinda marafiki wao hasa pale wanatopotakiwa kuwajibishwa kisheria! kwani utawasikia ohoo! hatuwezi kukurupuka tu kuwakamata tuache sheria ifuate mkondo wake!Na sheria haifuati mkondo wake!wanazidi kupeta mtaani!Mimi kinachonitatiza hapa mbona mashauri mengi yanakuwa bado yako mahakamani hasa yale yanayowahusu walala hoi dhidi ya serikali ile ile ,mfano kwenye mashauri ya ardhi/nyumba wanaondolewa wakati kesi bado ipo mahakamani! na sijawahi sikia mahakama inasema chochote juu ya hili! kwa muhimili huu kuingiliwa!Na hiki kitu nimejaribu kumuuliza hakimu mmoja jibu alilonipa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!siku amini!MIMI NASHAURI BORA USEME ''NCHI INAENDESHWA KWA MFUMO WA SHERIA KWA WATELULE WACHACHE TU'
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom