Wadau Hebu Tusaidiane Hii Ikoje,Mwanamme Anaweza Kuwa Hivi Kweli?

Hapa kichwa kimeniuma kidogo sijuwi nani ni nani au huyu jamaa ndo anashughulikiwa na wenzake?
 
Aisee ile ya terehe 05/11/2009 inasikitisha sana. Nategemea atakuwa ameshapata pesa za kutosha kurudi kwao Shinyanga. Misukuma/Minyamwezi akili zetu kwa kweli zinatisha wakati mwingine.

Ya tarehe 03/11/2009 nasikia tena Ngosha anapiga wanawake. Wewe Ngosha utapigaje Mwanamke? Zinakutosha kweli wewe? Utampigaje mtu mzima? Kama kweli unafahamu kupigana, si nenda kwenye ulingo utapigana na ulipwe....... Sasa anataka hadi hela ya kusomesha English.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom