Wadada/wamama punguzeni ukatili!

Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,932
2,832
Nilipokuwa mdogo nilifikiri kuwa wanawake ni wapole, waliojaa huruma, lakini haya kwa 90% yamepotea kwa kadri ninavyoishi. Nimekuja gundua wanawake wanaongoza kwa manyanyaso na mateso kwa ktk jamii zetu wanapopata wasaa!
hii inaonekana majumbani, mama kuchukia watoto wa mwanamke mwezie, maofisini vurugu tupu, kwa kifupi wengi wao ni makatili sana. Naomba mnisaidie hivi haya yanatoka wapi?
 
Si ushasema yanatoka kwa mwanamke......... Sasa yanatoka wapi vipi?!
 
Katiliwewe mwenyewe uliekimbilia mizigo usiyoimudu unajua kama unachukua zigo una uhakika nalo ata kama liwe katili kiasi gani atatulia tu
 
Nilipokuwa mdogo nilifikiri kuwa wanawake ni wapole, waliojaa huruma, lakini haya kwa 90% yamepotea kwa kadri ninavyoishi. Nimekuja gundua wanawake wanaongoza kwa manyanyaso na mateso kwa ktk jamii zetu wanapopata wasaa!
hii inaonekana majumbani, mama kuchukia watoto wa mwanamke mwezie, maofisini vurugu tupu, kwa kifupi wengi wao ni makatili sana. Naomba mnisaidie hivi haya yanatoka wapi?

:confused2::A S 39:

Si ushasema yanatoka kwa mwanamke......... Sasa yanatoka wapi vipi?!

:A S 41::clap2::A S 41:
 
Ananyanyasa vipi watoto wa mwenzie? na wewe uache tabia za kuoa na kuacha wewe ndio unanyanyasa watoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom