Wadada wa kona bar ni machangu kweli au matapeeli

Mi nipo Moshi, knjaro...mji msafi, hakuna vumbe....clubing kama kawaida. Dar ni wapi hakuna vumbi? au tunaongelea vumbi gani?

mkuu naongelea vumbi la burudani.....ingekua vumbi la udongo mbona dar ndo inaongoza pamoja na uchafu wa kila aina na usiombe inyeshe wanashindana kufungulia vyoo.....lakini kwa starehe kila siku sherehe...
 
Pale ni mixa wanauza na kutapeli,ni wataalam sana wa kuwaibia wanaume,ukimchukua mkienda kula raha kwenye nyumba za kulala wageni,hakikisha humnyonyi chuchu na ukifunga mlango hakikisha unasogeza kitanda mlangoni,ili asije kutoroka na vitu vyako,UMENIPATA HAPO?

daaaah mkuu kwani kwenye chuchu wanaweka nini??
 
we angushaaa wallet tuuuu afuuu iwee imenonaa wekundu wekunduuuu ndo utaonaaa utakujaa kuombaa ushauriiii kwambaa unawakimbiajeeeeee
 
Back
Top Bottom