Wadada wa kichaga na kihaya mnisamehe ktk hili!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
haya tena narudi kama Mbwiga wa mbwiguke. Hivi ni kweli wadada wa kichaga na kihaya kuwa na maumbile yao hayo kisa ni sababu ya milima na ndizi? Fuatilia habari hii.

Kwamba wadada wa kichaga kuwa na maumbile makubwa hasa kuanzia sehemu ya kiunoni kwenda juu na makalio makubwa chanzo ni eti sababu ya kula sana ndizi na kupanda milima. Kwamba kwa kwa kuwa muda mwingi huishia kupanda milima huku wakiwa na mizigo kichwani na mikono yao ikiwa imeshikilia mizigo hiyo ili isianguke (kama mabaunsa wanavyonyanyua vitu vizito) basi imepelekea miili ya wadada wengi wa kule uchagani-acha kizazi cha kichaga.com kinachoenda uchagani wakati wa xmass pekee- kuwa na maumbile ya kibaunsa kuanzia kiunoni kwenda kichwani.

Na kwamba ndizi ndiyo chanzo kikuu cha wadada wengi wa kihaya na kichaga kuwa na 'makalio' makubwa. Eti chano kikubwa ni ndizi-kumbuka pia na wanyakyusa wako kwenye hili kundi. Jamaa mwingine akaenda zaidi akidai kwamba eti kwa wahaya ndizi zimepelekea wao kuwa na kitu kingine cha ziada kwamba kwa kuwa style ya upikaji ni tofauti na wachaga eti style yao ya upikaji ndizi imepelekea wao kuwa na 'kidude' kirefu zaidi na ndio maana wanapenda sana 'kuchapa mzigo' tofauti na wachaga. Kwamba kama wangekuwa wanapika ndizi kwa mtindo wa mtori zaidi kuliko matoke style kile kidude kingekuwa moderate kama wanawake wengine wa kichaga.


Jamani wadada wa kihaya na kichaga hebu mwagikeni hapa mtujuze ukweli wa hii kitu maana kimazingira ni kama kweli, hebu wenyewe angalieni Mbeya, Kilimanjaro na Bukoba!!!!!!!!!

Nawangojea galilaya!
 
Mmmh, not true. Mbona wanawake wengi wa kihaya wana shepu kama za waganda Namba 8 na kuhusu kidude naskia ni IT(Individual Talent), hapa naawaachia wao waongelee.
 
Mbona hujaongelea kuhusu wadada wa kihaya kumwaga maji mengi mpaka inalazimisha kuweka mfuko kukinga godoro, au nalo kisa ni ndizi na milima?
 
Mbona hujaongelea kuhusu wadada wa kihaya kumwaga maji mengi mpaka inalazimisha kuweka mfuko kukinga godoro, au nalo kisa ni ndizi na milima?

Hii inatokana na utaalamu wa wanaume wa huko, kama ulisoma kiswahili enzi hizo mambo ya Gulio ......
 
Mbona hujaongelea kuhusu wadada wa kihaya kumwaga maji mengi mpaka inalazimisha kuweka mfuko kukinga godoro, au nalo kisa ni ndizi na milima?

Mkuu hebu hii kitu ifanye kuwa sredi inayojitegemea mkuu
 
Naombeni muongozo, "kidude" kinachotajwa hapa ni nini hasa? Kipoje? Kama kuna mtu mwenye picha atuwekee.
Nawasilisha hoja.
 
Nanusa harufu ya udhalilishaji hapa.....ngoja nipite kwanza
2uq20qr.png
2uq20qr.png
 
Back
Top Bottom