Wadada wa Jf are you real serious kwenye mahusiano????????

Hisia za mioyo yao ndo inataka kile wanachokiuliza so wewe jibu uliloulizwa na kama yuko interest atakuwa tayari,coz kila nafsi inamatakwa yake na hiyo ni kurahisisha tu ili msije tofautiana kauli baadae i think wapo very serious.
 
Henge kumbe bado tuko single lol?
Na nyie hamueleweki
Kila siku naona sread kaka wa JF kanihadaa
alinambia hana mke kumbe ameoa na ana watoto saba .nk nk

si unajua infedelity ndugu yangu!
hakuna jinsi zaidi ya kudanganya!
 
There u come again; mwanzo uliwaponda wakaka wa JF kuwa wanachezea tu wadada, nao kina dada r not serious, R u?

Wewe ulitaka wakuulizaje, size ya mkuki au?

Lol Kaunga siamini hii imetoka kwako ''Mkuki'' hahahaaa mbavu zangu jamaniii uwiiii
 
Hivi unaijua jf unaisikia,kuna watu humu wanajitia wanawake lakini wanatembea na vikopo vya vaseline,kalagabaho!
Ps:
Kama uko serious unatafuta mwenza kama mkristu anza kuimba kwaya,au ka vipi angaza angaza kazini,harusini na kwenye mikusanyiko kama hiyo.

Vikopo vya vaseline tena?ama kweli JF tutatoka na mengi hahahaa Bishanga we ulijuaje??
 
Sikujui hunijui unafikiri nitauliza nini? Tena bahati yako hujakutana na mimi maana nauliza mpaka cheti cha VVU sorry HIV test na kimo chako maana short chases sishobokei, shogaangu yeye anataka mpaka rangi na je umekaanga meno au mambo ya whitedent YES....Lol

Tatizo lenu wanaume mnafikiri sisi wanawake hatuchagui, na wasiochagua ndo mkiwapata ndani hawakai

Hahahahahaaaaaaaaaaa
 
JF is ultimately more than what I anticipated to be. Never boring
 
There u come again; mwanzo uliwaponda wakaka wa JF kuwa wanachezea tu wadada, nao kina dada r not serious, R u?

Wewe ulitaka wakuulizaje, size ya mkuki au?

kama na kumbukumbu nzuri sijawahi kusema kuwa nimewaponda wakaka ila nilisema siko kama nimekuja na kuanzisha hii threadkwa ajili ya kuchezea akili za wadada kwa hiyo utakuwa umeniquote vibaya ndugu yangu ila nashukuru kwa wazo lako kaka /dada kaunga....
keeo intouch..
 
Hivi unaijua jf unaisikia,kuna watu humu wanajitia wanawake lakini wanatembea na vikopo vya vaseline,kalagabaho!
Ps:
Kama uko serious unatafuta mwenza kama mkristu anza kuimba kwaya,au ka vipi angaza angaza kazini,harusini na kwenye mikusanyiko kama hiyo.

ndugu yangu yote nayajua kuwa kuna watu wanajiweka avater ya kikke wakati ni wanaume lakini hayo nitakuja kuyapatia majibu kwa kuwa ndio most of their time wanakatisha tama sana watu ila soon i will give my finding kwenye hilo ..

ila kikubwa nashukushu kwa coments zako...

mshuwa
 
Vile vile unaweza kuona mtu ana ID ya kike, avatar ya kike, Kumbe kidume mwenzio.... kalagabaho! fuata ushauri wa Bishanga kwa kutafuta mwenza sehemu alizokuambia.

thanks brother lakini tambua kumwa hata huko alikosema bishanga ndiko tunakota kabla ya kuja huku jf kwa hiyo tunavyosema kuwa mke mwema atoka kwa mungu siyo kwamba kuna sehemu specifically hao wake wema wamejipanga ila wapo katika mazingira haya haya tuliyonayo kwenye jf harusini sendogg workshops na seminars ..ila usidhani kuwa kuja hapa jf nimeaona kuwa huko kwenye mikusanyiko hata sisi wa jf hatuhudhurii kwa hiyo lipatikanalo hapa hata huko ukusemapao ndiyo sisi haohao tunao wawezesha makuanyiko hayo tusijiache nyuma kwa kujifanya hatuhusiki kwa lolote kwenye mahusiano hayo..

ila nashukuru kwa coments zako....
 
nilikuambia utume picha mbona hujatuma
wewe ndo haupo serias

ndugu yangu smile nauheshimu sana na ndio maana sikutaka kutekeleza ombi lako kwa kuwa siyo suluhisho la ninachokuta ungeamini vipi kwamba picha nikutumiayo siyo ya mtu mwingine wakati hata avater yako umeweka ya mtu mwingine?kwa hiyo ndi maana nilikuwa nasema kwa yeyote alielewa ninachokisema tukutane chemba ili tuongee yale anayoyataka niyaseme kwake?.

ila nashukuru kwa ujumbe wako
 
hahaha tuko full ndo maana hakuna aliyekuwa serious
Kila mtu yuko commited pole

ndugu yangu naomba kwa sasa nikuresevu ila jitakuletea thread ambazo ww 1stlady ulizozianzisha ambazo hazifananii na ukisemacho.ila nahukuru kwa kuw upo commeted na uhusiano wako..

zaidi nashukuru kwa coment yako..
 
kuulizwa kabila na kazi unayofanya ni mambo ya kawaida sana, usije kuwa na mtu unaemzidi salary times 3 then badae iwe.... oooh ananinyanyasa kisa anazidi kipato.. mara sijui nn... funguka kijana, ;If you will be serious they will be Serious too.'

ndugu yangu Mkarolina sikatai kuulizwa maswali yako hayo lakini siyo kiwe kipaumbele chako katika mahusiano...nachoamini katika uelewa wangu ni kuwa yote hayo hayajengi mahusioano na hayataki kuwa sehemu ya maamuzi kwenye mahusiano kwa kuwa hata uliyezaliwa naye hana tabia sawa na ya kwako..

Ila nashukuru kwa ujumbe wako..
 
Ndio maana I sit back and think about the hearts I have broken. Of course others too have broken mine only that I do it before they think about it.
 
Sikujui hunijui unafikiri nitauliza nini? Tena bahati yako hujakutana na mimi maana nauliza mpaka cheti cha VVU sorry HIV test na kimo chako maana short chases sishobokei, shogaangu yeye anataka mpaka rangi na je umekaanga meno au mambo ya whitedent YES....Lol

Tatizo lenu wanaume mnafikiri sisi wanawake hatuchagui, na wasiochagua ndo mkiwapata ndani hawakai

ndugu yangu sijasema kuwa tunafahamiana ila tambua kuwa kufahamiana siyo kwa kuniuliza kwa kutumia keyboard ya laptop au computer na ndio maana nilikuwa mkweli toka mwanzo kuwa yule aliyesoma na kunielewa nikitakacho tukutane huko kwa faragha chote akitakacho nitampa kinachonihusu mimi ...

ila nashukuru kwa wazo lako nakaribu tena
 
Sasa ulitaka wakuulize maswali gani??hebu jichagulie maswali mwenyewe lol!
Kwa nini usitafute mpenzi/mke kwenye mazingira yaliyokuzunguka live,huku mitandaoni ni very risk!

thanks for your coment ila najua umecoment kwa jazba nitakujibu baadae..

nashukuru kwa koment zako ila tambua kuwa huko unakokusema ndio wote tunakotoka japo tunajiona kuwa siye sehemu ya familia hizo kwa kuwa tuko kwenye ofisi zenye kiyoyozi au kuna vioo vya aluuminium..
thanks mamy kwa kujisahau mazingara hayo uyatajao..samahani kama nitakuwa nimekukwaza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom