Wadada tusikae kimya lazma tukemee hapa tunadhalilishwa

Dogo alishazoea vya kunyonga sasa vya kuchinja haviwezi. Kalishamgeuza Shyrose kama ATM yake
 
MadamT mbona unauliza majibu? Sifa kuu ya viserengetiboys ni kuingia chumvini hadi sugamami anachizika! Hivi ulikuwa hujui kwa nini wanamuziki wa kizaire wanatunyang'anya wake zetu?


Hayo tena makubwa mkuu? Kwa nini nawe usiingie huko chumvini ili usinyang'anywe mke na wazaire/serengeti boys.
Nilikuwa napita tu, ngoja nitoke...
 
tatizo la shugamami, likikuchoka likipata kaserengeti boy kengine, linakutupa mbali kusikojulikana kama vile halijawahi kukufahamu vile, sasa vijana wadogo jifunzeni toka kwa mwenzenu huyo.
 
ni kama wiki sasa kwenye magazeti ya udaku habari ikiwa ni shyrose-jaffarai
jafffarai anadai ni mchumba wa shyr kwa miaka minane na walipanga kupata mtoto.

hivi inaingia akilini miaka minane no mimba bila kasoro?nijuavyo kama mwanamke una kasoro mwanaume hukuacha haraka kwa hiyo jeff anamaswali ya kutujibu
jeff anaende studio anamchana shyr, clouds fm inampaka tope shyr for personal issues tena ana generalize wanawake.

my take:jeff kama hatadhibitiwa ataenda clouds tv nakuonesha nguo za ndani za shyr hence wanawake wote watadhalilika.wanaume wanaolelewa lazima wajifunze kujitegemea+nidhamu sio kushinda vijiwe wakila pombe na sigara wakiachika waanza kulialia hadharani na mikwara feki.
shyrose anahaki ya kuwa na mtu amtakaye...hilo jeff linaliaaaa


nawe wampenda jeeeeeeeeeefffffffffff.. .. He is a real man
 
Ni kama wiki sasa kwenye magazeti ya udaku habari ikiwa ni SHYROSE-jaffarai
jafffarai anadai ni mchumba wa SHYR kwa miaka minane na walipanga kupata mtoto.

Hivi inaingia akilini miaka minane No mimba bila kasoro?Nijuavyo kama mwanamke una kasoro mwanaume hukuacha haraka kwa hiyo Jeff anamaswali ya kutujibu
JEFF anaende studio anamchana SHYR, clouds fm INAMPAKA TOPE SHYR for personal issues tena ana generalize WANAWAKE.

My take:Jeff kama hatadhibitiwa ataenda clouds Tv nakuonesha nguo za ndani za SHYR hence wanawake wote watadhalilika.Wanaume wanaolelewa lazima wajifunze kujitegemea+nidhamu sio kushinda vijiwe wakila pombe na sigara wakiachika waanza kulialia hadharani na mikwara feki.
SHYROSE anahaki ya kuwa na mtu amtakaye...hilo jeff linaliaaaa






SIONI mantiki kujadili masuala binafsi ya mtu! sioni mantiki ya hiyo tivi(clouds tv) niliyo shuhudia mwenyewe ikimuhoji huyo bwana mambo yake na huyo mwanamke wake sitaki kuendelea kujadili!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom