Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,799
kwanini wengine huwa wanawahangisha wanaume kwa muda mrefu bila kuwapa majibu mapema kama alishamridhia moyoni mwake?
Labda ni kumjua mwanaume zaidi kitabia, lakini pia ni kutokuonekana maharage ya mbeya.