wadada the guide jinsi ya kumkubali mpenzi

....makala kama hii lazima uwe umepitia mengi na xperience ya kutosha
 
Hahahh asa mbona ya 3 na ya 4 vinakinzana? What if naturale yangu inajumuisha kuvuta sigara au kitu kidgo tu naliachia jitusi kama vile naangalia mpira afu mpira ukagonga mwamba?!
 
the guide, the guide the guide.......lol

jf is never boring....lol
 
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa

kaka bora nimekuona kesho ntakuja ofisin unipitishie uzi vyeti vyangu original na unibrashie(unipigie kiwi)CV yangu coz nimekuwa cpat kaz kila nikiaaply for job..
 
Mhhhhh_this does not work in the real world
1.Wanaume wengi almost(though doesn't count) 98% hatuwezi kuvumilia kufukuzia miezi 6 bila ku do.
2.Kupendeza hiyo ni sawa kabisa...twapenda wasafi na wanaopendeza.
3.Kuwa natural ni suala zuri na it pays in long run
4.Yap_mizinga inaboa sana,na hasa unapogundua unafanywa ATM
5.Mawasiliano muhimu_lakn yale ya usiku wengine hatupendi..kwa hiyo kuwa makini
6.Suala la kutambulishwa kwa jamaa zenu wengi hatujali ki vile...hivyo sio issue
7.Hii habari ya kwenda church/msikitini nayo sio issue kwani tumeona wengi wanamahudhurio mazuri sana lakn hovyo mpaka kinyaa...hivyo take it easy
8.Kama ghetto karibu sana na wala hakuna noma..ila kumbuka kuvunja hiyo no.1-kama hauwezi basi na wengine hatuna uvumilivu wa hilo.
9.Hilo la angaza poa...kama vip kinga zipo

Ntaendelea kutoa ushirikiano kadri ninapopata nafasi_maake wateja wa kushona na kubrash viatu ni wengi...si unajua mambo ya jua na vumbi.
sijakuona siku nyingi kweli ? upo mkuu na Katavi pia
 
Last edited by a moderator:

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom