wadada the guide jinsi ya kumkubali mpenzi

1 usiwe mwepesi kuvua nguo –hii itakusaidia naturally kujua ni mtu mwenye niaya dhati au ni wa kusepa(at least six month)
2. kuwa romantic-upendeze kiukweli ili kujua mihemko yake ni % ngapi na level yake ya resistancetowards mihemko
3. kuwa naturaly kamaunakunywa kunywa kama ni mtu wa kununa kaa hvo hvo
4 kuwa na haiba yakike-usivute sigara bangi ,usiwe mlafi,wala kutoa matusi mbele yake hata kamaweweni wa hvo
5 usimpige mizinga walausimpe story za familia yako hata kama yeye ata fanya hvo iwe ni baada at leastwk 3 kama atakuwa hajasepa
4 usimwambie idadikamili ya wapezi wako unaeza kumwambie yeye ni no 2 hata kama wapo mia hamnamita ya kupima so hawezi jua
5 usimueleze ukwelikuhusu kipato chako especially kama ni kizuri wanaume wengine wapo after money
6 kuwa mtu wamawasiliano especially siku za mwanzo hata usiku wa manane –kama ni muongousiku hatopokea simu piga chini siku iyo iyo
7 usimtambulishe kwa mtuyeyote yeye akikutambulisha potezeahii itakufanya uwe na heshima pale pale hata kama akisepa
8 angalia maneno yake kuhusu miaka yenu ya mbeleunaweza kumwambia mfano nataka kusoma ,nataka kujenga cheki mawazo yake kilazautamjua tu the way atakavokushauri
9 imani –church,mosqueattendance kama si mtu wa dini jua tu mahusiano yenu hayatakuwa mazuri so jpiliukion mtu anaipotezea jua tu haupo sehemu sahihi kimbia
10 muueleze matatizoyako kwa akili kumbuka no 5 sio kumpiga mizinga then cheki reaction yake

11 cheki movement zasimu yake kimya kimya je ukiishika tu anareact? Anaipokea kwa amani akipigiwa?

12 mtembelee home kwakeila kumbuka no moja

13 mwambie muende angaza kwanza mkapime hiv
nitaendelea kesho

Mhhhhh_this does not work in the real world
1.Wanaume wengi almost(though doesn't count) 98% hatuwezi kuvumilia kufukuzia miezi 6 bila ku do.
2.Kupendeza hiyo ni sawa kabisa...twapenda wasafi na wanaopendeza.
3.Kuwa natural ni suala zuri na it pays in long run
4.Yap_mizinga inaboa sana,na hasa unapogundua unafanywa ATM
5.Mawasiliano muhimu_lakn yale ya usiku wengine hatupendi..kwa hiyo kuwa makini
6.Suala la kutambulishwa kwa jamaa zenu wengi hatujali ki vile...hivyo sio issue
7.Hii habari ya kwenda church/msikitini nayo sio issue kwani tumeona wengi wanamahudhurio mazuri sana lakn hovyo mpaka kinyaa...hivyo take it easy
8.Kama ghetto karibu sana na wala hakuna noma..ila kumbuka kuvunja hiyo no.1-kama hauwezi basi na wengine hatuna uvumilivu wa hilo.
9.Hilo la angaza poa...kama vip kinga zipo

Ntaendelea kutoa ushirikiano kadri ninapopata nafasi_maake wateja wa kushona na kubrash viatu ni wengi...si unajua mambo ya jua na vumbi.
 
hapo red mtatumia kinga milele? ni vema mkaforecast ilo toka mwanzo.kipimo muhimu ila kama ni wa kusepa ataona kinga ndo muhimu ila wa long run atakubali kupima
 
hapo red mtatumia kinga milele? Ni vema mkaforecast ilo toka mwanzo.kipimo muhimu ila kama ni wa kusepa ataona kinga ndo muhimu ila wa long run atakubali kupima
sio milele_ila kwenye hiyo time frame iliyoitoa ya miezi sita ya uangalizi...ingawa angaza poa tu
 
Sasa Bebii,akilazimisha kupiga gem halafu akajua ni ubuyu?Kuna dem wa jamaa yangu alikuwa anaweka tomato akaja akakosea akaweka chili kilichoendelea siri yangu!
 
Sasa Bebii,akilazimisha kupiga gem halafu akajua ni ubuyu?Kuna dem wa jamaa yangu alikuwa anaweka tomato akaja akakosea akaweka chili kilichoendelea siri yangu!
kwanini alazimishe soma thread ya boss kwanza anatakiwa awe na sifa mwanaume sio mvulana
 
Sasa Bebii,akilazimisha kupiga gem halafu akajua ni ubuyu?Kuna dem wa jamaa yangu alikuwa anaweka tomato akaja akakosea akaweka chili kilichoendelea siri yangu!

Inamaana unamfunua hadi ndani uhakikishe ka kuna ubuyu au la?
 
Bebii,nyie siku hizi mnataka vivulana visharobaro hamtutaki sisi!
 
Back
Top Bottom