Wadada someni hapa

Mwenyewe uko uchi halafu unabuni mavazi kwa wenzio..... Ish... nimepotea njia ngoja niishioae hapa.
 
mimi ni kijana mtanashati sana na nimemaliza elimu ya chuo kikuu. bado kazi yangu sio stable sana ila naitaji nipate mwanamke ambae tunaweza kuishinae. awe mzuri kwa sura tabia na akivaa nguo ziwe zinamkaa. asiwe mnene wa kupiliza kwasababu mimi huwa nabuni mavazi so ya watu wanene siwezi na hawanipi midadi. kama kunayeyote ambae yuko serious tafadhali tuwasiliane.

kila mtu nguo inaweza kumkaa kama tu fundi aliyeishona kaishona vizuri, na katumia vipimo sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom